NACTE WAMETOA MAJIBU YA APPLICATION

NACTE WAMETOA MAJIBU YA APPLICATION

Vp wadau mdogo wang kapata chuo cha ualimu, je kunauwezekano wa kubadili programme kutoka level 6 kwenda 7 coz 4m6 ana D, D na B kwenye combi ya PCB
 
Dah University of Dar Es Salaam Computing Centre had sasa wananizungusha tu
 
Habar wadau! Naomba kuuliza, nataka nifanye application ya Clinical Officer ngazi ya Diploma, sasa ni muda upi zuri wa kuanza kufanya application hiyo na hasa kwa Intake ya March/Apri kwa mwaka 2019?
 
Habar wadau! Naomba kuuliza, nataka nifanye application ya Clinical Officer ngazi ya Diploma, sasa ni muda upi zuri wa kuanza kufanya application hiyo na hasa kwa Intake ya March/Apri kwa mwaka 2019?
Subiri dirisha lifunguliwe kila kitu kitakua poa, dirisha linafunguliwa tar 15 January.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom