Maswali yanayoulizwa kwenye interview utumishi

Kimunee

Member
Aug 4, 2018
55
16
Habari zenu wadau!! naomba kwa waliofanya interview zaidi ya moja utumishi au mahali pengine popote mnisaidie maswal ambayo yanapendwa kuuulizwa written na oral plz
 
1.Ndugu yangu kasome notes zako za chuo ktk kada uliombea
2. Yajue majukumu yako ya kazi haya yapo ktk ile kazi ulioomba
3. Isome hiyo kampuni kila kitu chake plus mission na vission
4.jikumbushe basic mathmetic kuzidisha 25626×2556 au 3555÷556 bila calculator
 
Ni maswali maraisi tu, mfano unaulizwa jinsia yako, mkoa ulikozaliwa, jina la baba, jina la Rais wa JMT nk. Usihofu ila nunua suti uende nayo siku ya kuhojiwa
 
1.Ndugu yangu kasome notes zako za chuo ktk kada uliombea
2. Yajue majukumu yako ya kazi haya yapo ktk ile kazi ulioomba
3. Isome hiyo kampuni kila kitu chake plus mission na vission
4.jikumbushe basic mathmetic kuzidisha 25626×2556 au 3555÷556 bila calculator
Kuwa Serious mkuu
 
1.na 2.Uko sahihi ila 3 sio sana na 4 umempoteza sana hawakatazi calculator UTUMISHI na Mala nyingi hawanaga hizo calculation maana mda wenyewe ni dk 40 maswali huwa ya darasani tu mwanzo mwisho na huwa ma nne(4) ila hubadirika endapo utafanya usaili wa nafasi unaoshirikisha kada mbili tofauti na kuendelea hapo maswali huwa general.

NOTE; Dk ni 40 acha mbwembwe za kusaidiana pale we ona kila mtu adui yako, Ukiitwa Interview soma sana Desa la class lasivyo utakuja lalamika hapa jukwaani mchujo Haukua fair huku wenzio wanagonga 90 n.k.

MWISHO
USIWE NA MOYO MWEPESI MAANA UTAKUTANA NA NYOMI NA UNAWEZA SOMA ALAFU PEPA IKATOKA VINGINE UKAPIGIKA HAYA YOTE YAPO UKAKATA TAMAA SIKU YA KWANZA TU.

UTUMISHI at all kwa 70℅ wako fair hizi 30℅ za kibinaadamu mtoto wa Shangazi Mjomba hata wewe naamini hutokuja kuwatupa ndugu zako endapo unacheo.Safari njema ya mapambano.
 
Fuata Maelezo ya mpombote hapo juu
 
Nyumbani huko.....written pitia human resources planning,Salary setting,Training and development,Performance appraisal,Principles of organising,decisions making principles...zile incremental na rational zipitie.....then research pitia case study,probability and nonprobability sampling,,qualitative and quantitative research approach,Methods of data collection,hypothesis.....best wishes
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom