Recent content by OBO5

  1. O

    JamiiForums Tanzania Lori la Magufuli limekwama, Tulisukume

    lori la makinikia.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Nimeshtushwa na tukio la bomu kwenye ofisi ya Mawakili wa IMMMA Advocates

    Kufuatia kuchomwa kwa ofisis za IMMMA ADVOCATES anakofanya kazi Fatuma Karue, wakili msomi, mtoto wa rais wa kwanza wa zanzibar, Abeid Aman Karume, wakili wa Tundu Lissu kumeleta hisia za kisiasa miongoni mwa wananchi. Swali ni je upelelezi utabadili hisia hizi?
  3. O

    JamiiForums Tanzania Lori la Magufuli limekwama, Tulisukume

    Tangu kuapishwa novemba 5 2015 suala la viwanda limekuwa ndoto za mchana. Kujifariji ikatangazwa kila vyerehani vinne ni kiwanda kidogo. Suala la kuhamia Dodoma nalo ni kigugumizi kila kukicha. Uwazi katika manunuzi pia ni kitendawili, wananunua ndege bila kutuambia bei yake kana kwamba ni...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Sakata la Ndege iliyokamatwa Canada: Tundu Lissu akamatwa na Polisi kwa kumkashifu Rais. Anyimwa dhamana

    Kwako, Mbunge wa Singida Masharaki, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa TLS na wakili msomi wa mahakama kuu na mahakama zilizo chini yake, anayehojiwa (soma shikiliwa) kituo cha polisi cha kati jijini Dar es Salaam, asalaam. Ndugu Lissu, wewe ni mzalendo sana kwa nchi yangu maana katika...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Nioneshe marafiki wa Tundu Lissu nami nitakuonesha Oligaki, Aristrokasi na Timokrasi

    ng'ombe ririrokatwa mkia.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Ufaulu upi wa chuo cha Kitanzania ktk sheria utamruhusu mtu kudahiliwa masters (LLM) oxford, cambridge na havard?

    Baada ya hapo ntakuja kuendesha NOAH yangu ya makinikia
  7. O

    JamiiForums Tanzania Ufaulu upi wa chuo cha Kitanzania ktk sheria utamruhusu mtu kudahiliwa masters (LLM) oxford, cambridge na havard?

    Ndo kusema majibu hadi nyoka wa makengeza aje!!!!
  8. O

    JamiiForums Tanzania Ufaulu upi wa chuo cha Kitanzania ktk sheria utamruhusu mtu kudahiliwa masters (LLM) oxford, cambridge na havard?

    Napenda kufahamu ni ufaulu upi wa chuo cha Kitanzania katika tasnia ya sheria unaweza kumruhusu mtu kudahiliwa masters (LLM) katika vyuo bora vya sheria ulimwenguni kama oxford, Cambridge na havard. Vyuo vyetu napenda nichukue rejeo la shule Kuu ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Hotuba yangu ya Agosti kwa Watanzania wote

    Kama unajihesabu uko smart kwa hotuba kama hii, basi huo usmart unaouongelea syo smart.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Official: Wimbo mpya ya Roma Mkatoliki - Zimbabwe

    Au na ww umetajwa nn teh teh teh
  11. O

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dar Makonda awatangazia wananchi wa mkoa wake miguu ya bure

    nchi ya TEF, rais DAB.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Ile dhana ya upinzani kufa Tanzania iko hai??

    Konda msaada tutani.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Ile dhana ya upinzani kufa Tanzania iko hai??

    Ila haujafa??
Back
Top Bottom