Lori la Magufuli limekwama, Tulisukume

Lori la Magufuli limekwama, Tulisukume

JPM anakosha sakafu ya moyo wangu...kanyaga mafuta lori twende hakuna kusmama kuchimba dawa
 
Ng'ombe hilo hapa!!,kwani wew no mkenya.Hivi kwann waccm wanajiona wao maisha ni mazuri,wakati sie baadhi ya wanacdm tuna maisha bora sana kuliko hao wanaccm wanaosubili kofia na y shirt za ccm kwa miaka mi5

Sent using Jamii Forums mobile app

Masuala ya utajiri sijui umasikini yameingiaje wa wanachama yanahusikaje? Wewe Cdm utakuta hata kadi huna kama wenzako wengi humu.. bali mnazo bado za CCM. Bora muende kuwaambia nyie bado wanachama ambao hata kwenye jukwaa hamjapanda kuikana chama kilichowakuza nacho ni CCM tena kipo kwenye ubora haswa awamu hii na kinazidi kupaa.
 
Mimi naomba tu ofice za JF na Luge wa Clouds waweke ulinzi mkali maana sasa hii ni shida baba bashite kaja na staili nyingine ya kutisha

Swissme
 
Tangu kuapishwa novemba 5 2015 suala la viwanda limekuwa ndoto za mchana. Kujifariji ikatangazwa kila vyerehani vinne ni kiwanda kidogo.

Suala la kuhamia Dodoma nalo ni kigugumizi kila kukicha.

Uwazi katika manunuzi pia ni kitendawili, wananunua ndege bila kutuambia bei yake kana kwamba ni misaada.

Uongozi bora na utawala wa sheria ni mbingu na ardhi. Wanaamru mpaka SHILAWADU waonyeshe video gani.

Upigaji wa rambirambi za Kagera na zile za Gambo.

Hayo ni machache, kwa kuwa mkulu alisema yeye ni dereva wa lori ni wazi kuwa amelipitisha njia yenye tope. Lori hili limekwama tumsaidie kulisukuma.
Tusukume kwa nyuma au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijiji kimoja kiliwahi mchagua kichaa kuwa mwenyekiti wao. Palikuwa hapatoshi vituko kila kukicha
 
Masuala ya utajiri sijui umasikini yameingiaje wa wanachama yanahusikaje? Wewe Cdm utakuta hata kadi huna kama wenzako wengi humu.. bali mnazo bado za CCM. Bora muende kuwaambia nyie bado wanachama ambao hata kwenye jukwaa hamjapanda kuikana chama kilichowakuza nacho ni CCM tena kipo kwenye ubora haswa awamu hii na kinazidi kupaa.
Samahani sijui ni mimi peke yangu? Sija wahi elewa unacho andika, nadhani unahitaji utulivu kidogo unapo taka kuwasilisha mawazo yako
 
Back
Top Bottom