Mada nzuri na bora kimaono kwa vijana na wazazi wenye vijana hitaji kimawazo ila wengi wanaojihita wasomi wamechangia kwa kupakana matope badala ya kutoa mawzo yao na fursa wanazozijua katika soko la ajira. Ni masikitiko makibwa kuwa na wasomi wasio na tija kimawazo, na wenye ubabaifu wa fikira...
Champion, hamna mtu mwenye Hekima/ Busara akawa hana akili.
Mwenye hekima ana subra, myenyekevu, mwema, mtendaji baada ya kufikiri n.k, hivyo uwezi tenda hayo bila kuwa na akili, mwenye akili ana hekima na mwenye hekima ana akili.
Champ, mimi nimejaribu kufuatilia maroli ya kusafirisha mizigo kutoka Dar to Mwanza sijafanikiwa ombi langu ni unipe msaada wa uhitaji huo kama unafahamu walipo nambari zao na gharama pia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.