Napataje connection ya kazi kwenye migodi ya Barrick

Napataje connection ya kazi kwenye migodi ya Barrick

Ni matumaini yangu wote wazima. Mimi ni kijana wa kiume nimesoma diploma ya procurement and logistic management na bachelor degree ya business management, natafuta ajira nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote
 
Well well well
Kwanza picha linaanzia hapa, cha kwanza hata kama huna skills yoyote inakubidi uwe na connection kubwa na ya uakika wapo na mifano ninayo mikubwa waliopo kwenye migodi ya Geita, North Mara na Sasa Mgodi mkubwa kabisa unaokuja kufanya balaa zaid nchini Nyanzanga Chini ya Sotta Mining uliyopo Sengerema,,wapo
1-- kuna dogo mmja nilikua naishia nae jilani geita alikua hana skills yoyote ile ila alilua na connection ya maana alianza kama assistant Driller ila now ni Driller wa Capital Limited Geita.
2--kuna mwanang Damu damu ni connection ya uakika aliyokua nayo simu moja tu now ni Technician wa Orica.
3--kuna mshkaji nilijua nae sio muda mrefu sana ila yeye alikua na ujuzi mkubwa sana wa ufundi wa umeme, now yupo NorthMara anakamua vizuri tu..
Kwaiyo kama huna connection ya kueleweka sogea maeneo sahihi ili kazi zikitoka za wale ma Contractors hua wanapewa kipaumbele wale wakazi wa maeneo hayo hayo kama ilivyo kwa sasa kwenye Mgodi wa Nyanzaga Sengerema ambapo kwa sasa wapo kwenye hatua ya Exploration ambapo tenda iyo wamepewa Wataalam Capital Limited,CoreWealth n.k kwenye maswala ya uchimbaji na utafiti
 
Upo mkoa Gani mkuu?
 
Champ, nahitaji ushauri wako inaonekana unajua mengi sana kuhusiana na jambo hili. Nitashukuru kama nitapata mawasiliano yako.
 
C
Lingine la kuongozea ambali linaihusu sana serikali, Serikali ijaribu kukaa chini na wafanyakazi watanzania ambao ni skilled waliopo kwenye operations au waliowahi kupita kwenye operations na kuwa promoted kwenye higher ranks kuanzia Underground mines, Open cut mines pamoja na waliopo kwenye oil and gas.

Lengo la kukaa nao hasa ni kuangali practically mahitaji ya soko na namna ya kufanya kutengeneza skills za vijana wetu ili wengi waweze kuajirika kwenye mid skilled levels and higher na kupunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la ajira.

Nchi kama Australia, Canada na Scotland zimeendelea sana kwa kuwekeza kwenye trades mbalimbali ambazo hutengeneza vijana wengi kwenye kazi za mines na oil and gas jobs, Engineering trades kuanzia mining, mechanical, geology, electrical, oil and gas zinaweza kutatua kwa kiasi kikubwa tatizo la ajira na vijana wetu wengi wakawa proffesionals sehemu mbalimbali duniani.

Dunia ina mahitaji mengi sana kwenye taalum ambazo ni risk kama mining, oil and gas, tukitengeneza vijana wengi huko wengi wataajirika world wide na kupunguza tatizo kwa kiasi kikubwa maana kazi hizi nyingi mishahara ni mizuri na wengi watapata fursa ya kuja kuwekeza na kutoa ajira vijana wengi.

Serikali ianze kutoa scholarships mbalimbali Australia, Canada, Scotland, Germany na India vijana wengi kwenda kwenye short courses za kuanzia mwaka mmoja mmoja kusomea trades mbalimbali.
Serikali pia itoe scholarships kwa engineers walioko mining, oil and gas kwenda kusomea na kuangalia namna kadhaa za kuboresha mitaala ya shule na kutengeneza vocational training kubwa kwenye kanda tatu zitakazokuwa full equiped na watalaam wakutosha kutoka nje na ndani pamoja na kushinikiza makampuni yote kuwa na trainees, internships na apprentice programes kazi zao.
Champ samahani naweza kupata mawasiliano yako cos nahitaji ushauri wa jambo moja kuhusu haya unayo zungumza, nitafurahi sana nikifanikiwa.
 
Back
Top Bottom