Ukute Pasco Mayala Pascal Mayalla na Lucas Mwashambwa ni dugu moja, wote wanaandika sana, mmoja kama mmasai aliyetulia sehemu moja na mwingine kama mmsai anayeangalia wapi kumenyesha akalishe mifugo yake. Kwako kaka Pasikali
Asante. Atakuja mmoja hapa atakuambia, tafuta hela, au atasema una wivu. Haya ndiyo maneno yanayotumiwa siku hizi na watu wanaotaka utoshelevu wa haraka (instant gratification) unaomini kwamba malengo ya muda mrefu ikiwa ni pamoja na kutumia muda shuleni, vyuo vya ufundi ni kuchelewa. Kazi za...
Duh, kitambo sana mdau, binafsi niko bien kabisa, yeah, has been a minute lakini kama bahari, Makapuku ikiwa kimy pande hizi, it rumbles there. Nimefurahi kukuona hapa
....na sasa ni 2.0 tunachanja tu kwa mwendo wa kukopa, kukopesha, kukopwa, na kukopeshana na tunajisahaulisha kulipa ili riba iongezeke. Vipi huko kileleni, baridi au ndo jua kali
...mimi wa kupotea unadhani!!! Nilisahau tu njia, nikajikuta nimepoteza simu na line ikauzwa na yule wakala anayetembea kabeba kispika kama cha adhana. Hapa nahangaika kurudisha namba yangu ile ile.
Dadaako hajanitafuta maana hadi SLP langu analijua, kabanwa tu na utawala binafsi
Neno linalosummate yote uliyoandika hapa, wewe ni muovu. A spineless sadist, ambaye kwako, maumivu ya mtu mwingine ndiyo furaha yako. Uko muoga na unajificha kwenye maguvu ya watawala.
Akili ya TAL haijateteleka pamoja na yaliyompata ukilinganisha na yako ambayo hata asiye na utaalamu wa...
Ngoja nilisikilize, lakini unajua veterani mimi bila gitaa, goma halinogi. Nimekua enzi za kina Gangwe Mob na Majitu 'pirimitivu' na kina Necha, nyimbo lazima isifie wali na pilau
Hili linataka utulivu sana, ni kama uko na mawazo linakupa vibe ya kusimama na kuendelea. Hapo bass umeitoa 60Hz hadi 100Hz na treble umeipandisha ili ulisikie gitaa la solo likichagiza bass. Hapo sunishine utaiona hata machweo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.