Recent content by OBD_Mwenyewe

  1. OBD_Mwenyewe

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha kiswahili kuwa cha kingerrza

    Wanajf habari zenu wakali wa lugha? Naitaji mtu mwenye uwezo mkubwa wa kunisaidia kubadilisha kitabu kutoka kwenye lugha ya kuswahili kuwa cha kingereza, sio bure namlipa. Sharti asiwe anabahatisha, kisiwe kile kingereza cha kugongea, n.k coz hata mimi sio haba! Kama unaweza hiyo kazi...
  2. OBD_Mwenyewe

    JamiiForums Tanzania Mfadhili wa vitabu.

  3. OBD_Mwenyewe

    JamiiForums Tanzania Mfadhili wa vitabu.

    Sijakuelewa, shemeji ndio unamaanisha nini?
  4. OBD_Mwenyewe

    JamiiForums Tanzania Mfadhili wa vitabu.

    Kubishana sio point, point ni kutekeleza tu, kama hauwezi acha wengine wanaoweza waje
  5. OBD_Mwenyewe

    JamiiForums Tanzania Mfadhili wa vitabu.

    Asante sana, ubarikiwe na MUNGU
  6. OBD_Mwenyewe

    JamiiForums Tanzania Back to school

    Me
  7. OBD_Mwenyewe

    JamiiForums Tanzania Mfadhili wa vitabu.

    Habari za muda huu wana Jf, Mimi ni.mwanafunzi, lakini pia MUNGU amenipa neema ya kuandika vitabu. Ila natafuta mfadhili wa kunisaidia katika eneo la fedha kwa sababu nimekwama. Kama kuna mtu yuko tayari anisaidie no 0679531449. Naomba kama uko tayari nitumie sms ikiwa imeanza na neno "KITABU"...
  8. OBD_Mwenyewe

    JamiiForums Tanzania Tecno c8

    Ni text 0679531449, anza na neno C8
  9. OBD_Mwenyewe

    JamiiForums Tanzania Tecno c8

    Unapatikana mkoa gani
  10. OBD_Mwenyewe

    JamiiForums Tanzania Back to school

    Y?
  11. OBD_Mwenyewe

    JamiiForums Tanzania Back to school

    Sor nilitoraka online but nimekuelewa
  12. OBD_Mwenyewe

    JamiiForums Tanzania Back to school

    Habari, mimi ni mwanafunzi niliye hitimu kidato cha nne mwaka 2015, kiukweli matokeo yangu hayaridhishi, nilikuwa nataka nikarudie mtihani mwaka huu ili nisafishe cheti, je naruhusiwa? Pia nataka nikimaliza kurudia mtihani nikasomee uhasibu, kama naruhusiwa, je ni-basic kwenye masomo gani...
  13. OBD_Mwenyewe

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufungua bot ya kusajili members kwenye app ya telegram

    Sijakupata vizur swali lako
  14. OBD_Mwenyewe

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufungua bot ya kusajili members kwenye app ya telegram

    Hellow wana jf naombeni msaada... Kuna wazo ninalo sasa nimekwama. Naombeni msaada wa jinsi ya kuandaa bot ya kusajili member telegram kiukweli mm nimeshindwa....kwa mfano member mpya anapoingia kwenye profile langu namtumia "Jisajili hapa..view" sasa nataka akibonyeza hapo impeleke moja kwa...
Back
Top Bottom