Mfadhili wa vitabu.

Mfadhili wa vitabu.

OBD_Mwenyewe

Member
Joined
Jan 8, 2018
Posts
14
Reaction score
9
Habari za muda huu wana Jf,
Mimi ni.mwanafunzi, lakini pia MUNGU amenipa neema ya kuandika vitabu. Ila natafuta mfadhili wa kunisaidia katika eneo la fedha kwa sababu nimekwama. Kama kuna mtu yuko tayari anisaidie no 0679531449. Naomba kama uko tayari nitumie sms ikiwa imeanza na neno "KITABU" asante.
Naishi mkoa wa ARUSHA. Kitabu nimemaliza eneo la Typing, typ-setting na design cover. Pia kama atanisaidia ili nimrudishie fedha zake nitashukuru-kitabu kinahusu mambo ya rohoni, niko tayari kwa kile ambacho anasema.
33fbb467d735949c8892c785109e5877.jpg
 
Kubishana sio point, point ni kutekeleza tu, kama hauwezi acha wengine wanaoweza waje
 
Habari za muda huu wana Jf,
Mimi ni.mwanafunzi, lakini pia MUNGU amenipa neema ya kuandika vitabu. Ila natafuta mfadhili wa kunisaidia katika eneo la fedha kwa sababu nimekwama. Kama kuna mtu yuko tayari anisaidie no 0679531449. Naomba kama uko tayari nitumie sms ikiwa imeanza na neno "KITABU" asante.
Naishi mkoa wa ARUSHA. Kitabu nimemaliza eneo la Typing, typ-setting na design cover. Pia kama atanisaidia ili nimrudishie fedha zake nitashukuru-kitabu kinahusu mambo ya rohoni, niko tayari kwa kile ambacho anasema.
33fbb467d735949c8892c785109e5877.jpg

Sijakuelewa, shemeji ndio unamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom