OBD Mwenyewe
Member
- Dec 10, 2017
- 14
- 3
Habari zenu ndugu wa jf, naombeni msaada kwa mtu ambaye anajua jinsi ya kufungua bot ya kutumia kuwasajili member kwenye app ya telegram. Asante kwa msaada wako
Nitakufundisha kusetsHabari zenu ndugu wa jf, naombeni msaada kwa mtu ambaye anajua jinsi ya kufungua bot ya kutumia kuwasajili member kwenye app ya telegram. Asante kwa msaada wako
Sijakupata vizur swali lakomkuu kwani undeomba ushauri na ID yako ya siku zote ingeuwaje?
OBD_Mwenyewe New Member
#1
3 minutes ago
Joined:Today
Messages:1
Likes Received:0
Trophy Points:0
kakwambia usijaze JF server na multiple Id.Sijakupata vizur swali lako
Habari zenu ndugu wa jf, naombeni msaada kwa mtu ambaye anajua jinsi ya kufungua bot ya kutumia kuwasajili member kwenye app ya telegram. Asante kwa msaada wako