Back to school

Back to school

OBD_Mwenyewe

Member
Joined
Jan 8, 2018
Posts
14
Reaction score
9
Habari, mimi ni mwanafunzi niliye hitimu kidato cha nne mwaka 2015, kiukweli matokeo yangu hayaridhishi, nilikuwa nataka nikarudie mtihani mwaka huu ili nisafishe cheti, je naruhusiwa?

Pia nataka nikimaliza kurudia mtihani nikasomee uhasibu, kama naruhusiwa, je ni-basic kwenye masomo gani? Naombeni msaada kwa ushauri tu. Asanteni
 
Habari, mimi ni mwanafunzi niliye hitimu kidato cha nne mwaka 2015, kiukweli matokea yangu hayaridhishi, nilikuwa nataka nikarue mtihani mwaka huu ili nisafishe cheti, je naruhusiwa? Pia nataka nikimaliza kurudia mtihani nikasomee uhasibu, kama naruhusiwa, je ni-basic kwenye masomo gani? Naomben msaada kwa ushauri tu. Asante
Mkuu nicheki 0786140534 au 0766326628
 
Habari, mimi ni mwanafunzi niliye hitimu kidato cha nne mwaka 2015, kiukweli matokeo yangu hayaridhishi, nilikuwa nataka nikarudie mtihani mwaka huu ili nisafishe cheti, je naruhusiwa?

Pia nataka nikimaliza kurudia mtihani nikasomee uhasibu, kama naruhusiwa, je ni-basic kwenye masomo gani? Naombeni msaada kwa ushauri tu. Asanteni
Ukipata kituo nijulishe
 
Nenda british school wapo mwenge ITV
 
Back
Top Bottom