Recent content by obama ze don

  1. O

    JamiiForums Tanzania Kutetea Posho za Ubunge na PAC si Mchezo,Kiti hakikaliki.

    mm huwa napenda watz tuelewe hivi huyo slaa kaja juzi tu cdm ana uzalendo kuliko mbowe, hivi mnajua kama Mbowe ndo mbunge pekee asiyepokea posho ya vikao na gari la serikali na hii ni kwa maslah ya wote, hii tz siyo ya ccm au cdm fungukeni hao wachaga siku wakichukua nchi nasepa zangu mbele, coz...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Mtwara wajipanga Kuugomea Mwenge wa Uhuru

    Hakuna watu kabisa huku kwenye mbio za mwenge, watu hawataki hata kuuona
  3. O

    JamiiForums Tanzania Chemsha Bongo!

    nenda duka lingine tabu yote ya nn!
  4. O

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Kizazi Kipyaaa.....dot com haaaaahaa

    iko outdate
  5. O

    JamiiForums Tanzania Ukijaribu tu umepigwa ban

    mimi apa
  6. O

    JamiiForums Tanzania Haya twende kazi

    iswear hii party siji ng'ooo
  7. O

    JamiiForums Tanzania PEARL: FAMII FORUMS Itakununulia BLACKBERRY

    kumbe humu ndan kunamchango nichangien bac na mm ninunue chaja ya cm, yangu imeibiwa...hahhaa
  8. O

    JamiiForums Tanzania kama kuoa itakua hivi basi ntakua single boy

    ulienda kuoa mosh nn?
  9. O

    JamiiForums Tanzania hoi kwa kicheko

    hhahahaah iko poa xana man
  10. O

    JamiiForums Tanzania shilole kuiba cm za diamond ni kweli au mizinguo

    nyi mnayenu mmngeenda jukwaa la mapenz mkachambane kuku nyinyi kuwataja taja akina daimond ndo mnaona dili i think mtakuwa mlikosa kazi ya kufanya xo mkaamua kuwest ur time pande hiz bt dis is nt bongomovie meeting xo take care guys, insearch bado mnajichanganya wenyewe mnamwonesha nani uhun...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Old Skool - tukumbuke nyuma kidogo

    m nilikuwa zangu kjjn nilikuwa nabeba ugal kwenye mfuko na shule ilikuwa mbali sawa na kutoka gongolamboto mpaka tazara unaenda kwa mguu na hiyo ndo shule ya karibu, nakumbuka unaamka alfajir ni ful umande yaaaan we acha tu....!
  12. O

    JamiiForums Tanzania Nani bingwa wa kusahau kati ya hawa jamaa?

    huyo aliyesahau jinsia atakuwa transgender
  13. O

    JamiiForums Tanzania Utajuaje kuwa unachoangalia ni filamu ya Bongo

    wavunje wakat hawana hela za kulipa
  14. O

    JamiiForums Tanzania Nani mbulula?

    acha msambaa afe cumbea yawezekana wenzake wamezimia tu wataamka lakin yeye ndo mazima hivyooo....!
  15. O

    JamiiForums Tanzania Sitosahau

    play on ur business achana na michakato ya wa2 hapa town utakufa oneday...
Back
Top Bottom