shilole kuiba cm za diamond ni kweli au mizinguo

shilole kuiba cm za diamond ni kweli au mizinguo

mshungas

Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
43
Reaction score
10
hii kitu mbona kama siiamini,hivi kweli unaweza kumtia mtu ndimu,alafu uende kwake,jioni ukale ftari.?
 
Heading haifanani na ndani kulikoni au ndo ijumaa udAku

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Inawezekana ni ww ndo mwiz kama kawaida yako kumbe fan zote upo kama bodaboda

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Inawezekana ww ndo mwizi shwain

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Ivi wewe tinambuya unataka nn kwangu naomba ueleze kila ninachofanya unanifanyia ushetani unataka nn kipi unadai kwangu na nimekuibia nn nakuuliza

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa bye"

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nakumbuka uliomba samahani ukakiri hutonifatilia sasa kipi kinakuwasha na kuanza usumbufu tena what are u missing kutoka kwangu? Kila sku fyoko unazianzisha kipi wataka ujiseme wwe ulivyo mwizi wa wanaume za watu wwe unaongea kama nani labda kuniita mm mwizi nani mwizi kati yangu na wwe? Unataka kupigiwa tena smu ndo furaha yako una nn

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mbona kichwa cha habari hakiendani na stori,mbaya zaidi wachangiaji mliotangulia ndo mmenichanganya kabisa.
 
nyi mnayenu mmngeenda jukwaa la mapenz mkachambane kuku nyinyi kuwataja taja akina daimond ndo mnaona dili i think mtakuwa mlikosa kazi ya kufanya xo mkaamua kuwest ur time pande hiz bt dis is nt bongomovie meeting xo take care guys, insearch bado mnajichanganya wenyewe mnamwonesha nani uhun wenu wa kugombania mabwana..for real i hate u all
 
Duh
Its getting personal I see

Ivi wewe tinambuya unataka nn kwangu naomba ueleze kila ninachofanya unanifanyia ushetani unataka nn kipi unadai kwangu na nimekuibia nn nakuuliza

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom