Mtwara wajipanga Kuugomea Mwenge wa Uhuru

kula kwa tindo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
1,330
Reaction score
324
Habari wana JF..
Kuna habari nilizickia jana toka Mtwara kua,kuna uhamasishaji wa kugomea Mbio za Mwenge kwa Njia ya Vpeperushi.
.
Leo nimethibitishiwa uwepo wa hali hiyo kupitia Wapo Radio,kisa ni Issue ya Gesi. Wananchi hao wa Mtwara wamesema,wako kimya si kwamba wameridhika na suala la Gesi lilivyochukuliwa kirahisi na kibabe na serikali.

Pia Wananchi hao wa Mtwara wametoa madai kua, hawana amani kabisa,wakitutwa wamekaa watu kuanzia 5 Hukukamatwa na askari wa JW na kuhojiwa wanaongea juu ya nini.

Na kichapo juu.. hali inayopelekea kudidisha chuki kwa Serikali..

Pia kuna tetesi kua Bibi wa Msimbati(kijiji ambacho Gesi imegundulika) anatafutwa kwa udi na uvumba,kwani Gesi inapungua kwa Kasi kadiri siku zinavyoenda,(japo hawasemi) na hii ni kwa kauli ya Mama huyo aliyoitoa kua hata iweje Gesi haitoki Mtwara na hawataiona!

Naiomba Serikali hii sikivu irudi kwa Wananchi na kuwapa somo zaidi,na sio kutumia Ubabe kwani iko siku tutasikia maafa zaidi kule..
 
Habari wana JF..
Kuna habari nilizickia jana toka Mtwara kua,kuna uhamasishaji wa kugomea Mbio za Mwenge kwa Njia ya Vpeperushi..
Leo nimethibitishiwa uwepo wa hali hiyo kupitia Wapo Radio,kisa ni Issue ya Gesi. Wananchi hao wa Mtwara wamesema,wako kimya si kwamba wameridhika na suala la Gesi lilivyochukuliwa kirahisi na kibabe na serikali..
Pia Wananchi hao wa Mtwara wametoa madai kua, hawana amani kabisa,wakitutwa wamekaa watu kuanzia 5 Hukukamatwa na askari wa JW na kuhojiwa wanaongea juu ya nini..
Na kichapo juu.. hali inayopelekea kudidisha chuki kwa Serikali..

Pia kuna tetesi kua Bibi wa Msimbati(kijiji ambacho Gesi imegundulika) anatafutwa kwa udi na uvumba,kwani Gesi inapungua kwa Kasi kadiri siku zinavyoenda,(japo hawasemi) na hii ni kwa kauli ya Mama huyo aliyoitoa kua hata iweje Gesi haitoki Mtwara na hawataiona!

Naiomba Serikali hii sikivu irudi kwa Wananchi na kuwapa somo zaidi,na sio kutumia Ubabe kwani iko siku tutasikia maafa zaidi kule..
mbele ya maslahi binfsi usifikirie utu
 
mimi nielimishwe juu ya umuhmu wa mbio za mwenge hasa kwa zama hv ambazo mtu mmoja kati ya 250 ndiye angalau anaweza kufikiri kama akauone huo mwnge au la...nadhani its no longer a popular concept...najiuliza kama ishu ni kufungua miradi kwanini fungu hlo la fedha lisipangiwe hyo kazi na kutumwa hko vjijini mapema na miradi kuanza?...kwani wakuu wa wilaya na mikoa hawawezi fanya hzo zinduzi? pia naamini kabisa hata bajeti tu ya kuzungusha mwenge huo inatosha kujenga zahanati ktk....pia swala la kukesha viwanjani usku kucha..bila hata kujali rika la wahsika...hvi huwa wanakesha kufanyanini..kuskiliza hotuba za maendeleo..au kupewa elimu za rika na ujasiriamali..? kwakweli nielimishwe...nielimisheni..ili nindoe wazo kuwa mbio za mwenge ni kamradi flani ka mtu au kundi flani linalofaidi fungu ktk bajeti ya mbio hzo....
 
Tatizo ni kwamba aliyetoa ahadi ya gesi kuchimbwa na kila kitu kufanywa kule hadi umeme upatikane amewatosa. Haendi tena kule badala yake amewatumia polisi na jeshi kuwapiga, kujeruhi, kuua na kubaka. Kwakuwa hawaruhusiwi kukusanyika basi na mwenge wawaachie wenye mwenge ambao wanalipwa na serikali kuukimbiza. watakao burutwa kuukimbiza ni wanafunzi wa shule za msingi
 
Unajua serikal sikivu inashndwa kuwasikia wanamtwara ambao wanahoj kwamba watawaachaje bila kuwapa cha juu, kwa iyo wana hak ya kudai hadi kieleweke
 
Serekali hawawezi kuamini mambo ya kishirikina doesn't work at all sasa huo uchawi wao kwanini wasitumie kuwafanyizia wana jeshi kila siku wanawapiga bakora
 
Habari wana JF..
Kuna habari nilizickia jana toka Mtwara kua,kuna uhamasishaji wa kugomea Mbio za Mwenge kwa Njia ya Vpeperushi.
.
Leo nimethibitishiwa uwepo wa hali hiyo kupitia Wapo Radio,kisa ni Issue ya Gesi. Wananchi hao wa Mtwara wamesema,wako kimya si kwamba wameridhika na suala la Gesi lilivyochukuliwa kirahisi na kibabe na serikali.

Pia Wananchi hao wa Mtwara wametoa madai kua, hawana amani kabisa,wakitutwa wamekaa watu kuanzia 5 Hukukamatwa na askari wa JW na kuhojiwa wanaongea juu ya nini.

Na kichapo juu.. hali inayopelekea kudidisha chuki kwa Serikali..

Pia kuna tetesi kua Bibi wa Msimbati(kijiji ambacho Gesi imegundulika) anatafutwa kwa udi na uvumba,kwani Gesi inapungua kwa Kasi kadiri siku zinavyoenda,(japo hawasemi) na hii ni kwa kauli ya Mama huyo aliyoitoa kua hata iweje Gesi haitoki Mtwara na hawataiona!

Naiomba Serikali hii sikivu irudi kwa Wananchi na kuwapa somo zaidi,na sio kutumia Ubabe kwani iko siku tutasikia maafa zaidi kule..

utu wako hauko usoni bali uko kisogoni hizi post za uchochezi hamjaacha tu.
 
Unajua serikal sikivu inashndwa kuwasikia wanamtwara ambao wanahoj kwamba watawaachaje bila kuwapa cha juu, kwa iyo wana hak ya kudai hadi kieleweke

mbona mbeya hawajataka mkale chipsi kulele bila kubeba kuleta dar.
 
Mungu saidia Mtwara yetu, tumechoka na kumwaga damu jamani
 
mwenge ushapita mbona!!na umelala krb na naliendele!
 
Makamanda wapo Mtwara kuwaelimisha wananchi wa kule
kila kitu kitakuwa sawa tu.

tathimini ya somo ndiyo hiyo. somo limeeleweka au la! mbinu za kufundishia nafikiri zibadilishwe hasa kwa hawa makamanda, viboko si mbinu sahihi kwa darasa hili. wataalamu wa elimu na saikolojia tuwaombe ushauri. Au ushauri tuliompa Kagame unaweza kutufaa katika hili la Mtwara
 
Habari wana JF..
Kuna habari nilizickia jana toka Mtwara kua,kuna uhamasishaji wa kugomea Mbio za Mwenge kwa Njia ya Vpeperushi.
.
Leo nimethibitishiwa uwepo wa hali hiyo kupitia Wapo Radio,kisa ni Issue ya Gesi. Wananchi hao wa Mtwara wamesema,wako kimya si kwamba wameridhika na suala la Gesi lilivyochukuliwa kirahisi na kibabe na serikali.

Pia Wananchi hao wa Mtwara wametoa madai kua, hawana amani kabisa,wakitutwa wamekaa watu kuanzia 5 Hukukamatwa na askari wa JW na kuhojiwa wanaongea juu ya nini.

Na kichapo juu.. hali inayopelekea kudidisha chuki kwa Serikali..

Pia kuna tetesi kua Bibi wa Msimbati(kijiji ambacho Gesi imegundulika) anatafutwa kwa udi na uvumba,kwani Gesi inapungua kwa Kasi kadiri siku zinavyoenda,(japo hawasemi) na hii ni kwa kauli ya Mama huyo aliyoitoa kua hata iweje Gesi haitoki Mtwara na hawataiona!

Naiomba Serikali hii sikivu irudi kwa Wananchi na kuwapa somo zaidi,na sio kutumia Ubabe kwani iko siku tutasikia maafa zaidi kule..
Hayo mengine Sijui. Ila hilo la bibi unatia aibu achana na hizo imani zisizo kuwa na ukweli au maelezo.
 
Back
Top Bottom