Recent content by Obama wa kigamboni

  1. Obama wa kigamboni

    Kwanini uliachana na Ex wako? Tubadilishane uzoefu..

    Kumtania tu kuwa nina mtoto,na huk anajua kbs maisha yng,,heeh akasanua
  2. Obama wa kigamboni

    Kusafiri kwa Ndege: Ni uoga wangu au nipo sahihi?!!

    Hili la masikio kuuma wakat wa kushuka toka juu tiba yake ni nini???tusaidien mwenzenu mie naumiaga sn
  3. Obama wa kigamboni

    Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    Kama huna shamba ni bora ukasake mapema kijijin,,
  4. Obama wa kigamboni

    Serikali yaivunja Bodi ya TCU, yawasimamisha kazi vigogo

    Hujielewi wewe,kwa hio ulitaka iendelee kufanya madudu yake mpaka utakapokuwa waziri wa elimu wewe???sometimes mpongeze mabadiliko chanya yanapofanywa!!
  5. Obama wa kigamboni

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sparta mpumbav sn,nakumwamin kote huk kanirudisha misri tena
  6. Obama wa kigamboni

    Wakuu nisaidieni

    Nalo ni wazo jema,tnx
  7. Obama wa kigamboni

    Wakuu nisaidieni

    Nina ndugu yangu anatakiwa kwenda Dakawa secondary school,,kwa mwenye rafk anaesoma pale au mwanafunz yeyote aliyepo hapo tayari ani PM bac namba yake,,natanguliza shukrani
  8. Obama wa kigamboni

    Msaada: Join instruction DAKAWA SECONDARY SCHOOL

    Mkuu naomba unisaidie na mm namba ya mwanafunz yyt anaesoma dakawa sec kwa sasa Nina mdogo wangu kachaguliwa ila tatzo mawasiliano imekuwa shida sn,,,ni PM km yupo anaesoma hapo,nitashukur sn
  9. Obama wa kigamboni

    Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

    Kosea njia utaelekezwa,ila sio mke,,,ambao bado hatujaoa tumuombe sn Mungu atupatie wake wema walio na hofu ya Mungu,,
  10. Obama wa kigamboni

    Watanzania wanaosoma Urusi huwa wanachezewa akili na Warusi?

    Pazdravlyayu* падеж mkuu,,,ila umenichekesha sn
  11. Obama wa kigamboni

    Watanzania wanaosoma Urusi huwa wanachezewa akili na Warusi?

    Mkuu,km unataka pen pal jiunge vkontakte(Kwa kirusi inaonekana hv ВКонтакте) ndo warusi wanatumia hii sn kuliko hata fb
  12. Obama wa kigamboni

    Watanzania wanaosoma Urusi huwa wanachezewa akili na Warusi?

    Kuna watu wametangulia kuchangia wametoa point za msingi sn(I appriciate them),,,me nasoma med hapa hapa urusi,,situmii pombe wala sigara,kanisan najua ni lazma nikamsifu na kumtukuza Mungu sbb natambua umhim wa Mungu ktk maisha yng,,Urusi ya Leo kila kitu ni uhuru wako cha msingi usivunje...
Back
Top Bottom