Recent content by oba

  1. oba

    JamiiForums Tanzania Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Kitanda hakizai haramu,ana uhakika gani kuwa yeye mwenyewe huyo anayemuita baab ndo alimzaaa. Yangu enzi wanaume walikuwa hawapekenyui undani wa mtoto,as long as amezaliwa ndani mwako ni mtoto wako,wewe lea mtoto ,toa matunzo na uendelee na maisha.
  2. oba

    JamiiForums Tanzania National Health Insurance Fund(NHIF) na changamoto zinazowakabili wanachama wa mfuko huu

    Tatizo la mfuko wa bima ya afya wa taifa upo kwenye settings zake. Mfano, nimewahi kusikia chama cha kutetea wasafiri. Je, umewahi kusikia chama cha kutetea watumiaji wa bima ya NHIF (au bima zote za afya)?nhif wanakaa na kuweka mwongozo wa nini kiwe fao ,dawa na bei gani na makolokolo yote...
  3. oba

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu kuhusu Dar Es Salaam Zoo

    Kuna mtu anaweza kunipa update za bei za kuingia zoo kwa Sasa?
  4. oba

    JamiiForums Tanzania Kutoonekana kwa Viongozi/Mwakilishi wa Vyama vya Upinzani Katika Msiba wa Mke wa Mwakyembe

    Acha umbeya....Sugu alikuwepo
  5. oba

    JamiiForums Tanzania Serikali yasema haina Uwezo wa kuajiri Madaktari wote wanaohitimu

    Awaambie wananchi pia kuwa kuna madaktari wengi tu anawanyonya kwa kuwafanyisha kazi bila kuwalipa,imagine dokta anaenda masomoni kubobea awe daktari bingwa na anaporejea kazini anafanya kazi kama dokta bingwa miaka kadhaa bila kulipwa kama dokta bingwa.....atafanya kazi kwa moyo kweli?
  6. oba

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atekeleza matakwa ya wafanyakazi

    Ooh ulivyo na chuki na upinzani !story yako yoye inalenga kuwazodoa wapinzani. Ni mtu tu asiyejua siasa anayeweza kufunga na kuomba ili upinzani ufe. Kazi ya vyama pinzani ni kuibua udhaifu wa serikali iliyoko madarakani, ni kuikosoa serikali, ni kuiamsha pale ilipo lala. Siku upinzani ukifa...
  7. oba

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu hali ya uchumi kwa sasa

    you have my vote, umechabua vizuri
  8. oba

    JamiiForums Tanzania Amka Tanzania huu si wakati wa kulalamika

    Katika historian ya mabadiliko tangu vizazi vilivyopita,mawazo ya kimageuzi,mawazo yaliyozaa vumbuzi yakinifu,ni Yale yaliyosababishwa na stress. Inaonekana ndani ya mwanadamu,katika maisha ya jamii mbalimbali,kuna hazina iliyositirika,kuna resources zisizotumika ambazo zimekaa tu,they are...
  9. oba

    JamiiForums Tanzania Madaktari wakutana kujadili ndugu kumpiga Daktari!

    Tutaheshimiana tu hapa mjini,we subiri timbwili timbwili waliloanzisha wananchi kinyume na wafanyakazi wa afya uone nani ataumia,daktari au wewe mwananchi. Ni mtu tu asiye na mawazo ndiye anayesapoti kupigwa kwa dokta tena na ndugu wa mgonjwa,doctors are danderous creatures to play...
  10. oba

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Pemba hali ni tete, vurugu kati ya Polisi na raia

  11. oba

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Mwanza wanaipima Serikali?

    Kuna shida sana kwa wa Tanzania,hivi kuna MTU kati yetu amewahi kwenda klinik akakutana na mwanasiasa akimuuliza wapi panauma? Wanasiasa wanawabugudhi watenda kazi wa afya sisi tunashangilia wakati tatizo kuwa link kwa wanasiasa. Imagine nesi anashutumiwa kwa kuuza glove,kwa nini serikali...
  12. oba

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Mzee Mkapa!

    nina mashaka kama Mzee mkapa ataweza kutatua mgogoro wa znz ,nahisi kama naye alikuwa nyuma ya uamzi wa jecha
  13. oba

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ukirudiwa tena Zanzibar CCM wakashindwa tena uchaguzi utarudiwa?

    Nakubaliana na hoja ya ccm kutangazwa washindi bila hata kurudia uchaguzi because that is what they want,no matter what ccm hawako tayar kushindwa so kurudia uchaguzi is a wastage of funds.Kama wameona hawako tayari kumkubali Seif aongoze bas watangaze wameshinda wao yaishe!
  14. oba

    JamiiForums Tanzania Kuwe na sheria kali kwa madaktari wa serikali

    tumia akili unapotaka kujua mambo,kama madokta wanaiba dawa na kupeleka kwa pharmacy zao serikali kwa nini isiwakamate na kuwafungulia kesi za wizi? unalishwa maneno na wanasiasa unayabeba hivyo hivyo,mwisho wa siku anayeumia ni mwananchi kama wewe! Serikali inachofanya ni kujiepusha na...
  15. oba

    JamiiForums Tanzania Kuwe na sheria kali kwa madaktari wa serikali

    mtoa mada amekurupuka mno....kenya kuna kipindi serikali ilitaka kufanya alivyopendekeza, madaktari bingwa wote wakatoa 24 hours kuacha kazi,mbona serikali ilinyooka?hivi unadhani madokta wakiacha kazi kwenye serikali yenu watakufa njaa?wananchi ndio watakaoumia! sikubaliani na hoja ya...
Back
Top Bottom