oba
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 310
- 65
Katika historian ya mabadiliko tangu vizazi vilivyopita,mawazo ya kimageuzi,mawazo yaliyozaa vumbuzi yakinifu,ni Yale yaliyosababishwa na stress.
Inaonekana ndani ya mwanadamu,katika maisha ya jamii mbalimbali,kuna hazina iliyositirika,kuna resources zisizotumika ambazo zimekaa tu,they are domant. Kunapotokea shida ndipo akili ya mwanadamu au jamii fulani inapoamka na kutumia hizo resource zilizolala.
Nchi nzima sasa ni wimbo,wimbo wa wahisani kujitoa kwenye sapoti ya miradi mbali mbali,huku MCC ya USA,huku mgomo kutoka nchi za Europa. Hii imekuwa kama stress kwa taifa letu,stress inayolazimisha kuamshwa kwa hazina iliyolala ndani ya kila mwananachi na nchi kwa ujumla.
Napenda sana wafadhiri walivyofanya kwa sababu akili na uwezo tulionao kama nchi na kama wananchi ni mkubwa,tunao uwezo mkubwa ambao uko dormant,uwezo wa kujihudumia,kujifadhiri na kufadhiri miradi yetu kwa kiwango cha 100%,tuna raslimali watu,ardhi,maji,bahari,raslimalial ,akili n.k,tuna kila kitu tunachohitaji ili kujitegemea.
Kama hii stress haitatuamsha kama nchi,kama haitawaamsha watawala,kama haitaumba hasira njema ya maendeleo ndani yetu,kama hakuna wivu wa kutoka kuachana kabisa na ugonjwa wa utegemezi basi nakubaliana na ndugu Trump; wakoloni warejee kwetu.
Amka Tanzania huu si wakati wa kulalamika ni wakati wa kuisuprise jamii ya kimataifa!