Recent content by nzitunga

  1. nzitunga

    JamiiForums Tanzania Nasikia sehemu kuubwa ya nchi haina umeme sababu kubwa ni mjadala wa ESCROW

    Hata hapa Iringa wamekata umeme! Hii ni dalili kwamba hali ni mbaya ktk swala la Escrow account!
  2. nzitunga

    JamiiForums Tanzania Tabia gani ambazo hupendi ukiwa kwenye daladala au basi la abiria?

    Nakereka sana na konda kutotoa ticket. Wengine kuvuta sigara ndani ya daladala
  3. nzitunga

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi lamuomba radhi Rais Kikwete kwa kuandika alienda kumtembelea Rajab Maranda

    Mi nadhani Chief kinachotushangaza ni namna IKULU inavyotumia nguvu kukosoa kuwa RIAS hajakwenda kuwatembelea wagonjwa ambao ni wahalifu! Mimi sioni shida yeye kuwatembelea wahalifu ila kwa nini watumie nguvu hivyo kukosoa? Inatupa shaka sana! Historia inaonyesha mara nyingi wakikosoa hivyo...
  4. nzitunga

    JamiiForums Tanzania Kadi za CHADEMA zagombaniwa chuoni

    Naona ifweero umekuja JF kwa malengo mahususi kabisa!
  5. nzitunga

    JamiiForums Tanzania The Sad Truth is: Bunge la Katiba Dodoma Ni Reflection ya Taifa Letu la Sasa!

    Mimi nilipoona tu wabunge wa Makinda na Ndungai wamejaa mule nikasema napoteza muda wangu kusikiliza, takuwa napata summary za siku! Kimsingi wanasiasa walipasaswa wawe wachache mule ndani, what is happening now, ni muendelezo wa kinachotokeaga katika bunge la Makinda. Na zaidi ni kwamba rasimu...
  6. nzitunga

    JamiiForums Tanzania Bunge la Katiba: CHADEMA imekosea sana katika hili

    Ninachoamini mimi, Sitta ni mwanaCCM na ni waziri ktk serikali ya CCM. Mwisho wa siku atajitahidi maslahi ya CCM yawe implemented. And I believe he will do it in a style, wait and you will see!
  7. nzitunga

    JamiiForums Tanzania Gari mbili za aina ya IST(2004) zinauzwa bei poa..

    Kachokoza mpaka umesema bei! RTunashukuru kwa taarifa!
  8. nzitunga

    JamiiForums Tanzania Pesa za wateja wa m-pesa, tigo pesa, airtel money na z-pesa wanao fariki zinakwenda wapi?

    Mi nadhani taratibu za mahakama ziko clear! Kama mtu amefariki na unafahamu kwamba alikuwa na pesa popote, say, MPesa, kwa court order hiyo account inafungwa na mirathi ikikamilika msimamizi wa mirathi anapaswa apewe pesa hizo kwa court order hiyohiyo. Tatizo la watu waliowengi huficha kama...
  9. nzitunga

    JamiiForums Tanzania Tanzania kushindana na Kenya ni AIBU

    Nina sign out!
  10. nzitunga

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete arejea, Selasini na Hamad Rashid wampokea

    Mkuu sijakupata unaposema kuwawekea wenzako sumu!
  11. nzitunga

    JamiiForums Tanzania InnocEnt fAces

    Sawa mkuu nimekupata
  12. nzitunga

    JamiiForums Tanzania Ubishi kati ya Scania, Vs Benz Vs Daf Vs Iveco stralis Vs Howo

    Scania haina mshindani ikifuatiwa na Benzi.
  13. nzitunga

    JamiiForums Tanzania Burundi: Hatutatambua maamuzi ya Jumuia ya Afrika Mashariki yasiyoshirikisha Tanzania!

    Mkuu umenena kabisa! Sasa ndo kusema serikali mara moja iachane na mpango wa kujenga bandari Bagamoyo na badala yake iimarishe bandari ya Tanga.
  14. nzitunga

    JamiiForums Tanzania Tunajenga na mume wangu, niimalizie hiyo nyumba mwenyewe?

    Upendo hubadilisha yote! Upendo hushinda yote! Mwambie ampende sana mume wake, na kwa sababu upendo una tabia ya kurudi (reciprocity of love) huyo mume naye atampenda tu huyo mama na kusahau wote wa nje, amini usiamini. Tatizo la watu wengu tunapendwa kupendwa kwanza badala ya kuwa wa kwanza...
  15. nzitunga

    JamiiForums Tanzania Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Huu mjadala unazidi kuwa mtamu. Ili kila mtu aweze kuestimate vizuri angepatikana mtaalam hapa akatupa exact or range of price for all materials required, at least unit price. Then akatupa estimates za idadi ya mbao na idadi ya bati for a given square meter(s). Hili ni swala la kitaalam sana, si...
Back
Top Bottom