Recent content by Nzingambemba

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kurejea kwa Tundu Lissu kwenye nchi yake ya asili

    jogoo_dume Punguza ukali wa maneno wewe ni binadamu mwenye utashi utumie vizuri
  2. N

    JamiiForums Tanzania Meya CHADEMA azikataa milioni 200 za CCM

    Wacha wawili wanigane
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jimbo la Singida Mashariki lisiitishwe uchaguzi mpya?

    Peleka hoja LUMUMBA Peleka hoja LUMUMBA Naona unawashwawashwa uliwahi hata kutetea haki yake ya kupata matibabu? Kwani Mbunge aliyeko kwa jimbo lako kabadilisha nini ndani ya kipindi cha mwaka mmoja toka Lisu ameenda kutibiwa?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wabunge wa CHADEMA waliojiunga na CCM (2015 - 2020)

    Anza na George Waitara
  5. N

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea: Sirro atengwe, asulubiwe

    Walishindwa kijisimamia kwa kitendo cha kuvamiwa clous tv Hapo hawawezi hata kwa saa 24
  6. N

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Tundu Lissu kwa wanamabadiliko na watanzania wote

    Well sana amehimiza kitu kizuri kabisa kuheshimu katiba na sheria za Nchi yetu. Amina
  7. N

    JamiiForums Tanzania MONDULI: Kalanga mgombea Ubunge CCM pekee

    Weldone
  8. N

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anna Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro

    mama hongera sana kasimamie vizuri ilani yetu ya chama cha mapinduzi (CCM). Nina imani kuwa nia ya mh; Rais ni kuleta maendeleo sio vingnevyo itikadi na tofauti zingine tuweke pembeni Maana ujue wakuu wa mikoa ndio wasimamizi wakuu wa ilani ya chama chetu ngazi ya mkoa. Hivyo weka pemeni...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashiriki ibada ya Pasaka, awataka watanzania wamuombee

    mimi nipo busy sana namuombea Ben over
  10. N

    JamiiForums Tanzania Wawili wafa kwa njaa Magu

    uchochezi
  11. N

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwele Malecela aula Umoja wa Mataifa. Kuongoza vituo vya magonjwa Afrika

    hongera sana zingatia maadili ya kazi yako sio siasa zisizo na tija
  12. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge Lijualikali bado ni muhalifu

    mimi sio mwanasheria lakini kwa mujibu wa rufaa iliokatwa na watetezi wa Lijualikali ni kwamba, hati ya mashtaka haikuwa sawa na kesi ya msingi iliokuwa ikiendelea sasa kama mtu unamshtaki kwa kosa X lakini maelezao unayotoa ni maelezo ya kisa Y sasa wewe na akili yako unaona kuwa jaji...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na swali hili kwa mpenzi wako, "eti wewe ni kabila gani?"

    mapenzi na mambo ya makabila hayo mapenzi mnataka kutambikika?
Back
Top Bottom