Orodha ya Wabunge wa CHADEMA waliojiunga na CCM (2015 - 2020)

Satoshi Nakamoto

Senior Member
Joined
May 28, 2017
Posts
110
Reaction score
466
Habari wana jamvi, kutokana na idadi kubwa ya wabunge wa CHADEMA kujivua nafasi zao ndani ya CHADEMA na kujiunga na CCM, ni vyema tukawa na thread moja inayoonyesha orodha ya wabunge hao.

Tukianzia wa kwanza kabisa "kuunga juhudi" hadi wa mwisho, nita update orodha yenye JINA, JIMBO na TAREHE
Karibuni!
 
Ingekuwa vizuri kama unge watag wajambaji wenzio wa lumumba
 
Back
Top Bottom