Majighu2015
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,936
- 3,959
Rais John Magufuli leo ameshiriki ibada ya Pasaka katika kanisa la Mtakatifu Petro na kuwashukuru wakristo na waumini wa madhehebu mengine nchini kwa kuendelea kumuombea.
Pia Rais aliwaomba waumini hao waendelee na maombi hayo ili nchi iendelee kuwa na amani, umoja, mshikamano na watu wanaochapa kazi.
Mytake:
Tutamuombea akimtumbua Bashite na kuacha kuvituma vyombo vya usalama kuteka watu. Otherwise watu hatumuombei. Maombi hayawezi kufika kwa mtu anayeonea wananchi wake