Recent content by Nzige Mweusi

  1. Nzige Mweusi

    JamiiForums Tanzania Ndugai hafai kuwa Spika, CCM mkalieni kikao na kumvua uanachama

    Nchi ina madini ya kila aina,Rasilimali za kutosha,Ardhi kubwa,vivutio vya utalii,gesi n.k lakini bado havijaweza kutumika ipasavyo bado serikali unataka kukimbilia kukopa! Ni ujinga wa kiwango cha SGR
  2. Nzige Mweusi

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa ambao Mama hawezi kuwafukuza, wanafunguka, anaoweza kuwafukuza wako kimya, na hata hawamtetei wala kummunga mkono?Unagundua nini?

    Magufuli hakuweka tozo ila makusanyo TRA yalikuwa juu na hata kukopa alikopa kwa strategy na miradi ikaonekana na akaipeleka Tanzania uchumi wa kati na ya tisa kiuchumi Afrika kwa sababu alitambua Tanzania ina rasilimali nyingi mno kama madini,vivutio vya utalii n.k vikitumika ipasavyo hakuna...
  3. Nzige Mweusi

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki Duniani: Homilia ya Askofu Mkuu Ruwaichi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam

    Ni jambo jema sana kwa kanisa na sinodi hii itasaidia sana imani na kuimarisha misingi ya mama kanisa kama mwili wa kristu.Kingine natamani sana Askofu Ruwaichi angepewa ukardinali maana utendaji wake ni wa hali ya juu na mnyenyekevu mno.Kama itampendeza Papa natamani kuona hivyo.
  4. Nzige Mweusi

    JamiiForums Tanzania Jaji Werema: Tumepitia magumu awamu ya 5, Katiba Mpya ni muhimu

    Jaji mpumbavu huyu labda yeye ndiye aliyepitia hayo magumu
  5. Nzige Mweusi

    JamiiForums Tanzania Sasa nchi inapumua. Mama songa mbele, kazi iendelee

    Kapanuliwe shimo hilo!
  6. Nzige Mweusi

    JamiiForums Tanzania Sasa nchi inapumua. Mama songa mbele, kazi iendelee

    Achana na huyo shouger tunamfahamu vizuri huku mtaani anauza mattercal
  7. Nzige Mweusi

    JamiiForums Tanzania Sasa nchi inapumua. Mama songa mbele, kazi iendelee

    Alafu fikiria anakuja mpumbavu mmoja anaandika huu upuuzi wake! Umeme mgao,Maji mgao,Bei za bidhaa,Mafuta,Mbolea zimepanda maradufu alafu bila aibu mjinga mmoja anakuja na mashairi ya kusifia ujinga ujinga hapa! NONSENSE!
  8. Nzige Mweusi

    JamiiForums Tanzania Sasa nchi inapumua. Mama songa mbele, kazi iendelee

    Umeandika upuuzi mtupu! Biashara za pesa zinafungwa kwa Tozo za kipumbavu kwenye miamala ndio nchi inapumua?? Watu kama nyie ni aibu kwa taifa
  9. Nzige Mweusi

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya Game of Thrones imenifanya niitilie shaka Biblia

    Kiukweli hata mimi nimewaza sana ni mwandishi wa aina gani anaweza kuandika simulizi iliyokamilika kiasi kile.Sijawahi kuona tamthilia iliyosukwa ikasukika kama GOT.zaidi sana haiishii kwenye video tu Bali mpaka kwenye vitabu vyake (song of ice and fire... e.t.c) Kwa uandikaji ule sishangai...
  10. Nzige Mweusi

    JamiiForums Tanzania Uongozi UDOM watetea PhD za Mawaziri, na Wabunge

    Chuo cha kata
  11. Nzige Mweusi

    JamiiForums Tanzania Basi zuri kutoka Dar kwenda Mbeya

    Umeitwa usaili wapi?
  12. Nzige Mweusi

    JamiiForums Tanzania Unajua sababu zinazomvutia kachero mbobevu Benard Camilius Membe kwa Rais Samia Suluhu Hassan?

    Pamoja na yote bado no Rais bora Tz kuwahi kupata
  13. Nzige Mweusi

    JamiiForums Tanzania Stamina anasema "...labda ukadeti na Yesu",hii siyo sawa!

    Si sawa kabisa.Aombe radhi kwa wakristo wote
  14. Nzige Mweusi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya is the 6th Richest Nation in Africa

    Hongereni sana ndugu zetu wakenya.Tanzania mpaka kufikia awamu ya tano tulishaingia top 10 sasa hivi Tanzania tumeanza kuporomoka tena.
Back
Top Bottom