trueSasa yesu aliweza kufufua hadi watu halafu wewe ndugu yangu unamtetea kiumbe chenye uweza wake!,just muache yesu ajitetee si mwenyewe sisi tupambane na yakwetu.
Ni logic nyepesi tu usijisumbue na kondoo wenzako wakati alierushiwa bango ni mchungaji ambae anauwezo wa kila kitu.