Recent content by nzedanze

  1. nzedanze

    Je kwa namna hii naweza kuambukizwa ukimwi?

    Ningekua na uwezo wa kumtoa mtu uanachama wa Jamvini wa kwanza ni wewe...ninapouliza swali kama hili haina maana kua mm nafanya hivyo ila ni maada ambayo myaweza kutoa Fundsisho kwa watu ambao bado wako Gizani kama wewe hata hivyo siwezi kurudisha tusi lolote kwako maana na Imani unatawaliwa na...
  2. nzedanze

    Je kwa namna hii naweza kuambukizwa ukimwi?

    Habari zenu wanajamii...nauliza eti kama mwanamke mwenye virusi vya ukimwi akininyonya uume usiokua na mchubuko anaweza kuniambukiza ukimwi?
  3. nzedanze

    interview ABG graduate programme

    Mjomba kichwa cha habari mbona kimeeleweka....man mm bado sijapata jipya lolote from anyware
  4. nzedanze

    interview ABG graduate programme

    Mjomba kichwa cha habari mbona kimeeleweka....man mm bado sijapata jipya lolote from anyware
  5. nzedanze

    Ni ishara zipi nyingine kwa mwanamke zinazoonyesha kujutia kosa tofauti na kulia?

    ok ni sawa lakini kubadilika hayo ni matokeo ya baadae sasa mm nataka kujua wakati huohuo akiwa anaomba msamaha Je huko anamaanisha au ananizuga tu...ndo shida yangu
  6. nzedanze

    Ni ishara zipi nyingine kwa mwanamke zinazoonyesha kujutia kosa tofauti na kulia?

    Habari zenu mabibi na mabwana? kweli hapa jamvini kunavitu vingi sana nimevipata kutokana na michango yenu kwenye topic au maswali mbalimbali ninayo uliza sasa kunakitu kimoja kinanichanganya sana nacho ni; Wanawake mara nyingi sana hulia machozi kama ishara ya kujutia kosa....lakini nimekuja...
  7. nzedanze

    Natafuta nafasi ya masomo..

    Nashukuru mkuu japo Nursing nasikia kwa mwaka huu tayari Deadline imeshapita..labda kama unahabari kuhusu chuo cha kilimo nacho chaweza kufaa..maana Dogo ana C ya Bios na C ya Civics mengine yote ni D isipokua Math and kiswahili
  8. nzedanze

    Kuoa mwanamke anaye kuzidi Elimu

    Wadau naomba kuuliza kwa nn mtu akioa mwanamke anaye mzidi Elimu ndoa haidumu hasahasa akikuzidi elimu na kipato ndo balaaa..Je nini tatizo?
  9. nzedanze

    Natafuta nafasi ya masomo..

    Habari zenu mabibi na mabwana,ninamdogo wangu wa kike kahitimu form four ana Div four ya point 27 namtafutia nafasi ya kusoma (Chuo) hasa hasa Nursing,Kilimo or Teaching vyenye ada dogo kuanzia Laki 7 na kushuka chini kwa mwaka Natanguliza shukurani za dhati.
  10. nzedanze

    Tofauti ya miaka inayofaa kati ya mme na mke

    kwa wewe nimekukubari mawazo yako ni mazuri sina comment kabisa......unasitahili kupongezwa
  11. nzedanze

    Natafuta mchumba....!!!

    Yaaaah....huyohuyo kaka naona atanifaaa na nahic tutawezana..........
  12. nzedanze

    Taratibu za kuvalishana pete ya uchumba....!!

    Amani iwe kwen....!! Je ni upi utaratibu mzuri wa ki-Tanzania wa kumvalisha mtu pete ya uchumba ?...maana hua naona wengine wanavalishana mbele ya marafiki,wengine wanafanyiana supulize (oooh baby fumba macho zen anamvalisha wakiwa wawili tu)...wengine huandaa tafirija fupi ambapo utakuta hadi...
  13. nzedanze

    Lecturer na story za kutunga a.k.a chai

    Hiii chai ya udsm walahi kama sio Dr.Rwaitamba bac atakua ni Prof mshoro wa Ardhi aliyekua Udsm enzi zileeeeeeeeeee
  14. nzedanze

    Tofauti ya miaka inayofaa kati ya mme na mke

    Asanteni kwa mchango wenu nimepata mwanga..........japo nilichokiona mpaka sasa ni bora mlingane au mmtofautiane kidogo maana mkizidiana sana ni kero,kwa mfano mwanaume wa miaka 45 amuoe msichana wa 20yrs naamini kwanza interest ya mzee na kijana ni tofauti hivyo hapa hamuoni kutakua na tabu...
  15. nzedanze

    Tofauti ya miaka inayofaa kati ya mme na mke

    Wanajamii nawasalimu kwa jina la Mungu aliye hai....mimi kunakitu hua kinanisumbua eti kwa kawaida mnatakiwa kutofautiana kivipi katika umri kati ya mke na mme maana utakuta wengine wanasema oooh kaoa mtoto wengine hoo kaoa mzee naajabu utasikia oooo wanalingana umri mwanamke atamzeekea...
Back
Top Bottom