Yaani hii kitu mie nachukia sana. Kwa mfano, Waziri Jafo anaambiwa kafanye uchunguzi, yeye anaagiza kutengua nafasi za wakaguzi wa ndani sijui nini...sasa amejiridhisha kwamba wamefanya ubadhirifu? Wakati mwingine kama ulivyoongea hapa Beatrice Kamugisha , unakuta matumizi ni halali, ila kuna...
Hakuacha ujumbe wowote, halafu unasema amejinyonga, nani kakuambia kwamba amejinyonga? Kwanini usiseme kwamba amekutwa ananing'i nia juu ya mti au dari, ili vyombo vya usalama ndo viseme kama alinyongwa au kujinyonga!
Mzee unateseka sana. Ulimponda Lowasa akiwa CHADEMA< karudi CCM Kimya. Hivyo hivyo kwa Sumaye & Co. Kwa nini unajifanya una uchungu sana na CHADEMA, wamekuomba uwahurumie?? Na kile kijarida chako cha CHECHE vipi cheche zimeisha??
Nimeona hii kitu kwenye twitter account ya mtu. Nimefuatilia thread haina majibu. Jamani inatia huruma. Wenye habari please help ili tuju, tujifunze au tusaidie.
Asanteni kwa mrejesho
Mkuu Guru Master , najaribu kutafuta hiki kitabu ili na wanangu wakisome sikipati. Unayo copy hata PDF uatach hapa. Mimi nilikisoma zamani, ni kitabu kinafikirisha sana! Nimejaribu kugoogle, ila naona tafsiri ya Afrikaans tu, na captions chache za kiswahili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.