Recent content by nyumbamungu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa biashara ya kutengeneza Matofali ya ujenzi..

    Naomba Fundi / Mfanyabiasha mwenye uzoefu wa kutengeneza matofali ya ujenzi pamoja na pavement unipe ushauri wa hiyo biashara, mtaji wa kuanzia, maeneo lengwa pamoja na chagamoto zake Asanteni
  2. N

    JamiiForums Tanzania Sayari 4 Kuonekana Mwezi huu, kuanzia leo January 10, 2025

    Baada ya kujipanga hizo Sayari ni nini kitatokea? yaani iwe tofauti na miaka iliyopita?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Mwalimu wa Video production & Editing, Graphic design & Motion Media

    Anahitajika Mwalimu wa muda " part-time" mwenye uzoefu Video production, Video graphic, Graphic design na Electronic media, mwanafunzi anaishi Dar es salaam, asanteni.
  4. N

    JamiiForums Tanzania KWELI Mamba (Gustave) anakadiriwa kuua watu takribani 300 Ziwa Tangayika

    Kwani Kiboko na Mamba nani kiboko ya wote kwenye maji?
  5. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta POS ya kununua ya NMB na CRDB bank

    Tahadhari: Usinunue mashine kwa Wakala, fika benki jaza fomu uombe kumiliki ya kwako. Mashine utakayo nunua inasoma jina la mmiliki hivyo bado benki inamtambua ataweza kutoa pesa kwenye hiyo akaunti bila kukupa taarifa.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Mati Super Brands yasaini mkataba na Bongo Records

    Kwahiyo tamasha litakalo kuwa linaandaliwa na Bongo Record ni tofauti na lile linalloandaliwa na Sugu aka Mr 2
  7. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampandisha cheo mpambe wake (ADC) sasa ni Brigedia Jenerali

    Kwahiyo gari lake litakuwa na nyota ngapi? Kwa wenye kufahamu utaratibu. ...
  8. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii ndio Quur-Juwaan; kila aliyeshiriki kwenye jambo husika hata kwa pongezi adhabu inamsomba

    QUUR-JUWAAN . Nikimnukuu Magoma, Mwanachama wa Yanga aliyekwenda mahakamani kuishtaki Bodi ya wadhamini wa Dar Young African, aliulizwa haogopi Ju-Ju- Man akajibu hapo ndio wasijaribu, kwasababu atasoma Dua inayoitwa QUUR-JUWAAN ambayo itamkuta aliyetenda, aliyehadithia, aliyechangia hoja...
  9. N

    JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha Mwendokasi Kimara acheni kutiririsha maji machafu usiku

    Hayo maji yanatokea ndani ya kituo au nje?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mjue mdudu ghali zaidi duniani, anauzwa Tsh. Milioni 200

    Kwa Japan tu.
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IGP Koome ajiuzulu, Ruto aridhia kujiuzulu kwake

    Uwajibikaji
  12. N

    JamiiForums Tanzania FCC, TCRA, Pitieni jina la Crown Fm linashabihiyana na Clouds Fm!

    Jana (Julai 01' 2024) ndio siku rasmi Crown Fm wameanza kutangaza baada ya kumaliza majaribio, na leo ( Julai 02' 2024) wamerusha kipindi cha michezo. Kwa mtazamo wangu naona jina la Crown Fm na Clouds Fm kama hautakuwa makini katika usikilizaji unaweza sikIa kama wametamka Clouds Fm, na hiyo...
  13. N

    JamiiForums Tanzania SACP Ng'azi plate number nyeusi ni kwa ajili ya majeshi, tutawasaka watu binafsi wanaozitumia

    Kwani kuna makundi mangapi na rangi ya vibao vya namba.?
  14. N

    JamiiForums Tanzania Subjects. Minor

    Hapo 4G na 5G inaingia wapi?
Back
Top Bottom