habar..wana jf? Najitokeza kwenu kuomba msaada nina mpenzi wangu anasumbuliwa na tatizo la kuvurugika kwa siku za kupata hedhi....je nn tiba yake na madhala yake...asante!!
hi!guyz huxuxan wanaofanya kazi za kujiajili jaman ndugu zangu,watanzania wenzangu,wanajf wenzangu, mxaada nina mil.2 jaman natakakufanyabiaxhara je ni biaxhara gan naweza fanya! Pls jaman naitaji mxaada wenu!tnx
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.