Natafuta king'amuzi cha Startimes, nina Tshs 30,000/=

YouTube

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2012
Posts
936
Reaction score
363
Dijitali ndio hiyoo imetushtukizia sie walalahoi hadi leo hatujaamini kama wamezima kweli na tunahisi watawasha tu analojia,

nahitaji kuwa dijitali na mimi ila ka uwezo kangu kadogo, nipo siriazi nahitaji king'amuzi cha star times na offer yangu ndiyo hiyo TSH 30,000/= , inawezekana hukitumii au umehamia dijitali ya ukweli dstv au unacho cha ziada na hukihitaji. Kikipatikana kile cha zamani itakuwa dili zaidi.

please pm me or call me 0752 858693​

  • Thank you in advance
 
usijali mkuu utapata tuu, mimi pia nilinunua humu kwa mdau mmoja nikahamia digital,
 
Duh!! Haya ngoja nimuulize ndugu yangu flan allikuwa nacho naona juzi kavuta Cable
 
Kwani ofisi zao zimefungwa?? mazoea mabaya kutaka wenzenu waibiwe kila mara nenda kanunue kwenye ofisi za startimes
 
mkuu kuna watu hawana shida nazo wameviweka tu ndani ,

mkuu pia king'muzi huwezi tumia cha uwizi utakamatwa tu,

asante kwa kunielewa
 
Kwani ofisi zao zimefungwa?? mazoea mabaya kutaka wenzenu waibiwe kila mara nenda kanunue kwenye ofisi za startimes
mkuu jamaa hataki king'amuzi cha wizi ila anataka mtu anayeuza king'amuzi kwa bei hyo amuuzie
 
Kwani ofisi zao zimefungwa?? mazoea mabaya kutaka wenzenu waibiwe kila mara nenda kanunue kwenye ofisi za startimes

Ndugu,
Huyu muhitaji anaka king'amuzi kutoka kwa yule aliyekichoka cha kwake na kanunua kingine, sio cha wizi. Kuna watu kadhaa hapa JF huwa wanahamia kwenye kampuni nyingine, wanaachana na Star times na kuuza ving'amuzi. Hao ndio anaowataka mleta mada
 
Ongeza 20,000/=, iwe 50,000/= nikupe changu 30,000/= ni hela ila umeanzia chini sana kama unayo kong'oli namba 0713-357542
 
Sio wote wanaoendesha magari wamenunua show room. Kumvua mtu pia imo.
 
mkuu nilikupigia simu,

plse nina hiyo hiyo cash 30,000/=

thank you in advance
 
Ungeweka wazi mkuu. Wengi wahitaji, wasio na uwezo wa kununua vipya

mkuuu Idimu nili-mp huyo nyukibaby, but hakujibu chochote.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu,
Huyu muhitaji anaka king'amuzi kutoka kwa yule aliyekichoka cha kwake na kanunua kingine, sio cha wizi. Kuna watu kadhaa hapa JF huwa wanahamia kwenye kampuni nyingine, wanaachana na Star times na kuuza ving'amuzi. Hao ndio anaowataka mleta mada

Sio wote wanaoendesha magari wamenunua show room. Kumvua mtu pia imo.

asanteni kwa kumuelewesha huyo ndugu yetu. mbarikiwe sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom