Recent content by Nyuki1994

  1. Nyuki1994

    Serikali yaiagiza TCRA kufatilia wanaouza vocha tofauti na bei elekezi

    Sasa wataanza na ma agent au maduka madogo madogo.
  2. Nyuki1994

    PreGE2025 Paul Makonda: Kwa umri huu nitishike na kauli za Watu? Mtapata watu wengine watakaowapetipeti

    Nahitaji Mawasiliano ya Mkuu wa Mkoa tafadhali mwenye mawasiliano yake Kuna bwana mmoja nilifanya nae biashara ya 38Milion mpk leo tokea 2022 hajanilipa. Nahitaji kuonana na mkuu wa mkoa maana sipati msaada mahakamani wala polisi
  3. Nyuki1994

    WB: 2050 Tanzania Itafikisha Watu Milioni 140. Yatoa wito kudhibiti kasi ya Ongezeko la watu na uzazi

    Watu n mtaji sana katika nchi husika. Tatizo WB wakitoa mikopo yao wanakuja na masharti yao.
  4. Nyuki1994

    Kwanini Tanzania latest Car ni chache sana kuonekana. Bado wanaagiza Magari ya 2000-2010

    Ushuru n hatari sana apo bandarini. Bado wanakumbatia sheria za kizamani kwenye utozaji wa kodi wakati Dunia imebadilika sana tokea Miaka ya Baba wa Taifa
  5. Nyuki1994

    Majaliwa: Suala la Picha ya Rais Samia kuwekwa kwenye fedha litajadiliwa

    Kwaio kila Raisi akija madarakani abadilishe sio. Hakika tuna wabunge vilaza sana uko bungeni hawajui wajibu wao kabisaaa
  6. Nyuki1994

    Unajifunza nini kwenye picha hii?

    Mwai ndo correct
  7. Nyuki1994

    Unajifunza nini kwenye picha hii?

    Jomo Kenyata uyo mzee Alieketi na dogo apo ni Uhuru Kenyata alafu uyo aliyeinama n Moi kibaki then uyo amesimama wima ni Daniel torotich Arap Moi
  8. Nyuki1994

    Unajifunza nini kwenye picha hii?

    Wote apo wamewai kuwa Maraisi wa Jamhuri ya Kenya
  9. Nyuki1994

    Mwenzenu nimeyatimba

    Kama usaha ushanza kutoka hiyo ndo dozi ya uhakika ata ukimshirikisha daktari wako atakupa majibu pia
  10. Nyuki1994

    Mwenzenu nimeyatimba

    Cefriaxone 1gm start then Cefixime 400mg start Azuma 1gm start. Hii ndo dizo hakika utapona kwa haraka
  11. Nyuki1994

    PreGE2025 Ziara ya Dkt. Biteko Mkoani Mtwara yasababisha mitambo ya Umeme iliyosimama kuanza uzalishaji

    Wakati wa kampeni umekaribia mtasikia mengi sana. Tatizo CCM ina amini watanzania n wajinga kama wale wa zamani
  12. Nyuki1994

    Biden anagombea tena na atashinda

    Unaandika ukiwa New York au Zomba Tanzania ndugu
  13. Nyuki1994

    IMF yazipa msaada nchi 6 zilizotingwa na madeni, Tanzania imo

    Hakuna msaada hapo, sema mkopo mwingine juu ya mkopo.
  14. Nyuki1994

    Dar: Wananchi wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao

    Kidogo nahisi kuna maslahi unapata pale kama sio wewe moja kwa moja kuna ndugu au rafiki yako wa karibu ananufaika na uwepo wa kile kituo pale acha sheria na taratibu zifuatwe
Back
Top Bottom