Recent content by nyuki dume

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msilalamike mlishajitukana wenyewe kabla hata kutukanwa na mzee Beni

    Kwa mantiki hiyo basi hata Viongozi wa CCM watakuwa wapumbavu kwa kua wanamtumia Mzee Warioba kufanya kampeni zao wakati wa Bunge Maalum La Katiba walimtukana,wakamdhiaki hata kumpiga na waliofanya hivyo walipewa na vyeo,
  2. N

    JamiiForums Tanzania Aliekuwa Mwanachama wa CCM asema kinachofanya WanaCCM kujiuzulu kila kukicha

    Hawa watatu hawezi kuwa utatu mtakatifu futa usemi.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Sisi WanaCCM, tumeiua CCM wenyewe kwa mikono yetu

    Ni kweli kabisa sasa badala ya kumsaidia wanamkimbia. Ama mzee huwa ashauriki?
  4. N

    JamiiForums Tanzania North Korea 'executes vice premier over forestry dispute'

    Huyu rais ni kiboko,Marais kama hawa wanahitajika Afrika,
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kigoma mwisho wa reli

    Duuu hapa nimekumbuka mbali hapa ni Katosho nini?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Aliyegombea ubunge Gairo aenda CHADEMA

    Kweli kabisa haeleweki
  7. N

    JamiiForums Tanzania TANESCO mna nini na mikutano ya CHADEMA

    Ikifika muda wa marudio watakata tena. Hawa na akili nzuri
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Hizi picha ni za kweli kabisa angalia kwa makini picha na 1 hadi na 3 zinafanana.sio photoshop
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    Uongo mtupu,nenda kajipange tena
  10. N

    JamiiForums Tanzania Team Lowassa wazidi kupigwa chini ubunge CCM

    Wengine ni Mh Lusinde na Martha Mlata
  11. N

    JamiiForums Tanzania Team Lowassa wazidi kupigwa chini ubunge CCM

    Mwingine mwenye kuherehere Ni Mh Lusinde kibajaji
  12. N

    JamiiForums Tanzania Martin Kadinda

    Martin Kadinda ndio nani?
  13. N

    JamiiForums Tanzania CCM/Ramadhani kuirudisha TZ kwa Uingereza!

    Mawazo finyu,
  14. N

    JamiiForums Tanzania Maneno ya khanga hayo

    Mmmmmh.Napita tu
  15. N

    JamiiForums Tanzania No comment.

    Hii kali
Back
Top Bottom