nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
Lakini pindi chana anajenga hoja sana arudi tu bungeni
haa haa labda vihoja.
Lakini pindi chana anajenga hoja sana arudi tu bungeni
Simbachawene, Juma Nkamia nao ni tia maji tia maji
Lakini pindi chana anajenga hoja sana arudi tu bungeni
Reservations. . . . .,. he, still is a politician. . .
Mkuu hawa wote kweli ni timu Lowasa lakini pindi chana hapana yupo na siasa za NAM.Hadi sasa Pindi Chana, Diana Chilolo, Shamsa Mwangunga na Lediana Mng'ong'o wameshindwa katika kura za maoni viti maalum. Unaweza kuwaongeza pia Nchimbi, Ole Medeye etc etc.
Kwa Pindi Chana hata mimi naunga mkono, kuna mwingine mwarabu koko wa Kishapu sijui anaitwa nani ni bogus sana huwa hana point zaidi ya kujiita mbunge shapu, hana tofauti na wabunge wa viti maalumu.
wabunge wanastahili kukosa kabisa nafasi ni pamoja na Wasira, Asunta mshana (mbunge waNkenge) , kandege(Kalambo), Arfi( mpanda mjini) Simbachawene na wote wa viti maalum wakiongozwa na Leticia Nyerere!!
Hivi huyu ni muhindi pindi chana au kaolewa na muhind.
Pindi chana hakuwa na lowassa.
Hadi sasa Pindi Chana, Diana Chilolo, Shamsa Mwangunga na Lediana Mng'ong'o wameshindwa katika kura za maoni viti maalum. Unaweza kuwaongeza pia Nchimbi, Ole Medeye etc etc.