CCM/Ramadhani kuirudisha TZ kwa Uingereza!

CCM/Ramadhani kuirudisha TZ kwa Uingereza!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Kumpendekeza Jaji Ramadhani kuwa mgombea Uraisi kwa tiketi ya CCM ni kuirudisha nchi yetu kwa Uingereza na sababu kubwa ni ni dini ya Bw.

Jaji Agustino Ramadhani, yeye ni Muanglikana na Kanisa la Kianglikana Mkuu wake ni Ufalme wa Uingereza chini ya Malkia wa Uingereza kwa kifupi kuwa Uanglikana ni zaidi ya dini, huyu atakuwa kama vile alivyo Askofu Tutu wa AK anawajibika moja kwa moja kwa Ufalme wa Uingereza chini ya Malkia wa Uingereza na siyo kwetu Watz!

Ikumbukwe kwamba hata Wazungu wenyewe walioleta huu Uanglikana hapa Afrika mpaka wanapigana vita kupinga hawa watu, angalia Ireland Kaskazini mpaka leo kuna vita kwa kuwa Wakatoliki hawataki kuongozwa na Malkia Muanglikana, hata Uingereza kwenyewe Mkatoliki hawezi na haruhusiwi kuwa Kiongozi wa juu kabisa ni lazima awe Muanglikana sasa ni kwa nini turuhusu huyu Muanglikana kuwa Kiongozi TZ?

Hata nchi kubwa kama Marekani hakuna mtu ambaye ni muumini wa kianglikana anaweza kuwa Raisi wa Marekani na sababu ni moja tu Kiongozi wa waanglikana wote ni Ufalme wa Uingereza na ndio mwenye maamuzi sasa hii ni hatari sana kwa Usalama wa nchi.

Nasema CCM msilisahau hili jambo, Muanglikana asiweze kuwa raisi wa Tanzania, hata Mlm.Nyerere ( Apumzike kwa Amani) angekuwepo asingekubali hili kwa kuwa anaelewa, unafikiri ni kwanini aliwapinga Wagogo kuwania Uraisi ni kwa sababu wengi wao ni waumini wa Kianglikana!





 
Labda kura wampigie wenyewe wa system ila sisi hatuwapi kura zetu
 
...siasa za kupandikiza chuki kwa kugawanya wananchi kwa misingi ya dini au ukabili zisipewe nafasi kwa hali yoyote katika nchi hii.
 
Back
Top Bottom