Recent content by nyongolwe

  1. N

    The matter concerning Lissu will be dealt with by the court accordingly

    Kwa akili hizi huenda unaumia sana kuhusu Iran
  2. N

    Kufananisha Subaru SJG na LC 300 series ni matusi!

    Kwa maana ya hp unataka kusema land cruiser 1hd fte na hp zake 201 haiwezi ipita yutong kisa ina hp 360?
  3. N

    Hii ndio tech. ya kibabe dhidi ya starlink...'STARLINK KILLER'.

    Kwa hiyo intelijensia ya urusi haikujua kwamba ulaya itaingilia? Mbona ukraine ilijua kwamba Putin atasaidiwa na Iran, north korea, china.....?
  4. N

    Msikiti wa Majini (Masjid al-Jinn) ni moja ya sehemu za kipekee mjini Makkah

    Yanawasaidia kwenye chuma ulete,yakiwafanikisha wanajibu allah akbar!
  5. N

    Marufuku ya Makonda kwenda US, UK, Australia & Canada

    Netanyahu ni koloni la waarabu pia
  6. N

    PreGE2025 Ujenzi wa barabara ya mzunguko wa nje ya Jiji la Dodoma (ring road) wafikia zaidi ya asilimia 85

    Hiyo barabara wazee wa racing wataitumia usiku maana ulipo toka ndipo utakaporudia.
  7. N

    PreGE2025 Mradi wa upimaji wa ardhi unatarajiwa kuwezesha uboreshaji wa jiji la Mbeya kuwa la kisasa

    Ukipenda sana simulizi na usijue kuzichuja automatically unakuwa mshirikina.
  8. N

    Hali ya hewa ya Mbeya inakera sana

    Daah watu mna hasira na mbeya kama fisiem
  9. N

    Nikiona Account inazungumzia mambo ya siasa na dini nai-block

    Na ndio tatizo la waafrika ubinafsi tu,mwenyewe kuwa na hicho kiduka unajiona ushamaliza la wengine halikuhusu hadi yakukute.Akiniblock akili ndogo huwa nafurahi sana.
  10. N

    Je, ni kweli gesi ya kupikia nchini Cuba inauzwa TZS 2,000? – Uchambuzi wa kitaalamu

    Hahaa AI niliona wanadai injini ya 12h-t ya kwenye coaster na land cruiser j60 eti ina 12cylinders na hp 400!
  11. N

    Urusi ni nchi tajiri sana msidanganywe na propaganda

    Globally kibiashara Urusi hasikiki sana au bidhaa zake hutegemea ndani?tunaipimaje kwa vifaa vya kivita au wese?
Back
Top Bottom