Recent content by nyoka makengeza

  1. N

    COMPARE & CONTRAST: Turkish vs Chinese Infrastructure (SGR) loan to Tanzania

    Rais Magufuli sio Engineer, ni Chemist by profession Ila amefanya kazi sana na Engineers ktk Wizara alizoongoza.
  2. N

    Wanaomkwamisha Rais kwa sasa wamo Mawaziri, Wakuu wa mikoa..!!

    Wafanyakazi hewa wameondolewa na wanaendelea kuondolewa., wenye mishahara ya malaika imeshushwa.., ajira mpya hakuna/ imesitishwa.. Ongezeko la mishahara Mwaka huu hakuna.. Sasa bajeti ya mishahara itaongezekaje kwa mwezi? Hapa ndio panahitaji maelezo ya ziada..
  3. N

    Anayejua historia ya Utendaji Kazi wa Abdul-Razaq Badru, Mkurugenzi HESLB

    Mleta uzi kuna kitu anataka kusikia.. Navuta subira..
  4. N

    Kuna mambo mawili Rais kapotoshwa

    WE BURE KABISA!!
  5. N

    Viwango vya gharama daraja la Kigamboni ni uhalifu dhidi ya ubinadamu

    daraja 7000 ÷ 40= Abiria 15. hapo mimi sijaelewa..
  6. N

    Katibu Mkuu Kiongozi ni cheo kilicho juu ya fikra za udini

    uhsjibiwa ushajibiwa hoja yako.. kwamba Bongo ukisikia udini basi ujue kachaguliwa Muislam, Akichaguliwa Mkristo basi sawasawa.. rejea teuzi za utawala wa JK.. Kila akichaguliwa Muislam ni nongwa, akichaguliwa Mkristo utasikia kichwa hicho. mjadala huu hauna tija.. ufungwe tu.
  7. N

    Lowassa aanza kuchunga ng'ombe huko Handeni, Tanga

    Safi.. Ye anachunga ng'ombe kuna mtu kwa nyuma anamchunga yeye!
  8. N

    Zitto Kabwe, Huifahamu argumentum ad hominem, vipi kuhusu Lowassa?

    Anayetajwa na Zitto kama mhusika toka CHADEMA katika kashfa hii ni Bashir Awale ambaye hajatajwa sehemu yoyote kunufaika na mipango hiyo kwa mujibu wa gazeti la Mwananchi la jana, Disemba 2. Bashir Awale alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya Stanbic tawi la Tanzania na baadae kuwa meneja...
  9. N

    Taarifa ya Bakhresa Group kuhusiana na Upotevu wa Makontena

    Bado hujawasaidia kuelewa.. Sanasana umewachanganya zaidi!!
  10. N

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Sio kosa lako!! Ndo uwezo wako wa kufikiria ulipofikia!!
  11. N

    Rais Magufuli acha kumdhalilisha Kikwete

    Mtoa mada kumbuka jipu ili lipone inabidi litumbuliwe., na likitumbuliwa lazima litoe damu na liume!! Tuvumilie tu jamaa anatumbua majipu!!
  12. N

    Citizen tv ya Kenya inaonyesha kampeni za Lowassa tu

    Mkuu nakushauri kabla hujapost uwe unampa mtu asome kwanza!!
  13. N

    CAG: Magufuli na Mwakyembe wawajibishwe

    Chuki tu.. Hapa linazungumzwa suala lingine we unaleta suala lingine! Kama vipi anzisha uzi basi!
Back
Top Bottom