Recent content by NYOGELO

  1. N

    Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

    Kuna mbunge huyu anachamba kama demu wangu wa mbagala
  2. N

    Muda si mrefu Muungano wa Zanzibar na Tanganyika utavunjika

    Wanzanzibari hawataki Muungano wanalazimishwa tu na huu ndio ukweli na wengi wao wanatamani ivunjike hata kesho. Na siku ikitokea Rais hata wa CCM zanzibar akataka Muungano ivunjwe nina uhakikia atapata support zaidi ya 95%. Watanganyika wanaona Muungano ni mzigo kwao na kwa haraharaka kizazi...
  3. N

    Viongozi wamenichosha kwa kutaja "Mama" wakati Wanahutubia au Kuongea na Wananchi

    Kila kiongozi akisimama kuhutubia au kuongea lazima amsifie /amtaje Mama. Utaratibu huu ulianza awamu ya tano na unaendelea kwa kishindo, sote tunajua Rais wetu ni mwanamke na ana mamlaka ya kuteua wasaidizi wake lakini isiwe kila muda mama, mama, mama maana anatajwa kuliko maada husika. Nchi...
  4. N

    Sheria za CAF ni kwa nchi zisizo za kiarabu tu?

    Sheria na kanuni ya CAF ni kwa nchi zisizo za kiarabu tu, warabu wanafanya ujinga mbele ya viongozi wa CAF na hawachukui hatua. Ni muda sasa centrol, East & South Afrika kuwaachia warabu wacheze wenyewe mpira ya figisu kama ya leo kwa sababu CAF wameshindwa kuchukulia hatua North Africa countries .
  5. N

    Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

    Mkuu nimeshangazwa na kilichotokea ,CCM wanajitoa ufahamu na wanapingana na ukweli ,kugombea Urais ni kipengele muhimu ,huwezi kusema aliwahi kuwa kwenye mchakato wa kutafuta ticket ya kugombea Urais ndani ya CCM na kuwa kwenye tano bora alafu unasahau kuwa aligombea Urais kupitia chama kingine.
  6. N

    Zitto Kabwe: Membe alitupigania dhidi ya tabia Mbaya ya Watu wenye Mamkala kutumia Wahuni kutukana Viongozi wenzao

    CCM ukweli upo wazi na haupingiki mmemfanya vibaya kwenye historia ya marehemu Benard Membe kipengele cha siasa ,mmeshindwa kuelezea alihama CCM na kugombea Urais kupitia Act wazalendo, hivyo hivyo pia kwa msemaji wa familia Zitto kabwe umefanya vizuri kuwakumbusha waweke record vizuri ya...
  7. N

    jiko la gesi plate 2 nataka 80k ya fasta

    00000 911 98000000000000000ⁿ99⁹9p96 01 8
  8. N

    Mapenzi ni bidhaa bila pesa hupati chochote

    Moderator nihamishie Uzi wg kwenye upande wa MMU sio love connection
  9. N

    Mapenzi ni bidhaa bila pesa hupati chochote

    Kwanza niweke wazi mini ni miongoni mwa wanaume wabahiri kuonga sijui Kwa sababu kipato changu ni kidogo na hata nikiwa na 1m nikaonga hata 10k itaniuma kweli kweli lakini nikimsaidia mtu napata amani moyoni (sanasana wenye shida na matatizo napata amani na furaha ) na hiyo ndio kama sadaka...
  10. N

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Raia wengi wanaofanya shughuli zao mkoa Dar es salaam wanaishi Mkuranga /pembezoni ,Kupata umeme lazima uombe wilaya Mkuranga . Nimeomba umeme mwaka jana mwezi wa kumi mpaka leo hata control number sijapata na sijui wataniingizia umeme mwaka gani ? Tanesco Mkuranga Kuna ujinga na ubabaishaji...
  11. N

    Ushauri: Nahisi kupotea kwa huyu mwanamke

    Kwa hiyo unataka nini ? mwachane Kwa sababu ya hapa na pale
  12. N

    Mliojenga naomba msaada wenu kwenye hii ramani ya JF

    Nimeipenda nyumba hii nikawaz nibadilishe iwe frem lakini huku madirisha ya mbele nayabadilisha kuwa mlango , jumla inakuwa na frem 3. Buget yangu ya ujenzi mpaka kupaua bila finishing ni milion 5 na kila frem nataka iwe futi 20 kwa 10 Nitatumia fundi Maiko kujenga na kupaua, eneo ipo nje...
Back
Top Bottom