Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,638
- 47,704
Atalia huyo huko mbeleni 😅[emoji23][emoji23] kwa kweli
Atalia huyo huko mbeleni 😅[emoji23][emoji23] kwa kweli
Maumivu ya kuachana na mtu, ni nafuu sana kuliko maumivu ya yeye na ex wake wakiungana wakaanza kukusema wewe 😅😅.Wadau na mahusiano na mwanmke, ambay awli alikuwa na mahusiano na mtu, flan wakabahtika kupataa mtoto, lakin mtoto alifarki baada ya muda,. Wakaachana kwa Sababu za hapaa na palee, sasa mm namfaham ndio mchumba wangu wa sasa nahitaj kumuoa lakin naogopaa nisije pigwa vibuti maana huyo jamaaa yupo karbu na eneo analoish binti
Nawaslishaa
Heheheeeya..Ogopa mwanamke ambae kidume mwenzio kafeli,kumbuka na yeye ana mkia kama wewe
NAKAZIA.
Haijatoka moyoni 😁 amtego huuOa tu mwaya
😀😀😀😀Haijatoka moyoni 😁 amtego huu
Unataka ayakanyage kama mandonga😀😀😀😀
Unataka ayakanyage kama mandonga
Alafu uje umcheke baadaeAtakipata cha moto