Recent content by nyilaegenge

  1. nyilaegenge

    JamiiForums Tanzania Tuliotelekezwa na baba zetu tukutane hapa

    Comments zenu zinaumiza sana Mimi nimezaa na mdada baada ya kushindwa kuoana hataki nijue habari za mtoto, kamficha wala hataki kunisikia nataka kweli kumlea mwanangu lkn mama ake hataki, nilijaribu mtengenezea bima ya afya lkn kagoma Kutoa cheti cha kuzaliwa Anasema mtoto ni wake so...
  2. nyilaegenge

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mashine used ya kutengeneza juice ya miwa

    Na Mimi nataka
  3. nyilaegenge

    JamiiForums Tanzania Baada ya kupata matatizo, mchumba wangu akaolewa na mfanyakazi mwenzangu

    Nadhani ungelaumu kama tu mlishafunga ndoa, mchumba/mpenzi tena umempata akiwa bado hajitambui/mgeni kazini/hajajipanga/ hajapata marafiki , ulimpata sababu ya hali yake nahis hakukupenda. Pia miaka 5 mingi sana kusubiri kwa kipi akusubiri umefunga naye ndoa? Mjamzito? Ulizaa naye? Au kitu gani...
  4. nyilaegenge

    JamiiForums Tanzania Kuna Diploma Kafanikiwa au Twapoteza Bando Bure?

    Mimi SHIDA ZANGU 1. Inaleta Qualifications za mpk nta lvl 5 na sio 6. Sasa nitaitoaje sijui 2. Vyuo vilivyobaki inaniletea vya diploma sio degree , nachanganyikiwa 3. PDF ya transcript ni kubwa zaid ya mb 2, nifanyaje ipungue Sijui kama nitachaguliwa. Nitaanzaje upya?
  5. nyilaegenge

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

    Mie nimejifunza mengi Mimi nakumbuka na kujuta kwa kujifunza kwa nn sikuchagua mchumba kipindi niko chuo kikuu, sasa nimeajiriwa sehemu toka 2014, hamna wadada, siwaelewi kbs, fujo , nilitaka nioe mwaka huu lkn sina Mdada!!! Du sijui nifanyaje? Au nisubiri walimu wapy nimuombe DIO nikae na...
  6. nyilaegenge

    JamiiForums Tanzania Naleta mrejesho: Nimepata shamba la kilimo cha matikiti na vitunguu

    Nahitaji Elimu ya ufugaji wa Samaki, mtaji 2 mlns Naishi maeneo hayana Maji zaid ya visima yenye chumvi. Nifanyaje?
  7. nyilaegenge

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Ndo Kazi ilokuweka humu, kariri majina yang hujui wakerewe wanafanya Kazi gani Tanzania hii
  8. nyilaegenge

    JamiiForums Tanzania Muendelezo: Ndoa ya Mali nyingi

    Nashukuru sana mtoto wa mbogo na jamiix
  9. nyilaegenge

    JamiiForums Tanzania Nitauawa bure mimi sababu ya mapenzi, familia yangu inanihitaji bado

    Una bahati sana kwamba uko naye krb na mpo wapenzi muonyeshe vya tofauti Niliwahi kuwa Dada Mkali tukapendana nikawa namuogopa hivo hivo mwishowe tukaajiriwa sehemu tofauti sasa najuta kwa nn sikumbunja, na yeye huwa ananipigia na kunikumbusha mengi Tumia fursa, unaweza kuoa
  10. nyilaegenge

    JamiiForums Tanzania Muendelezo: Ndoa ya Mali nyingi

    Hbr ya mapumziko ndugu zangu Naomba kushare na nyie kile kinachonitokea kuhusu mahusiano yangu. Ikumbukwe nilileta uzi hapa juu ya wazazi wa binti kuniomba mahari kubwa ili nimuoe binti yao. Sasa baada ya kuamua kukaa kimya kuachana na hayo mambo, binti haelewi kabisa , anashinda analia , hali...
  11. nyilaegenge

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali yafuta BRN, Magufuli sasa tufutie hii kitu inaitwa "Sekretariati ya Ajira"

    Sekreterieti ya ajira ni kila kitu kweny ajira Hasa kwa watt masikini wasio na network Nilienda mara moja nikapata kazi, Wew utakuwa kilaza sana.
  12. nyilaegenge

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    0765372929 tafadhali niunge
  13. nyilaegenge

    JamiiForums Tanzania Wazoefu wa relationships naombeni ushauri

    Usifanye nikumbukr , niliabstain mpk nilipomaliza form six ndo nikado. From there nikatendwa then 3 yrs ago nilikuwa nawafumua sana,
  14. nyilaegenge

    JamiiForums Tanzania Mrejesho

    Ni jeuri sana ndugu, tumeharibiana.huwezi muoa mtu kwa huruma za mtoto Lkn aliwahi nambia ana MTU ambaye anaupendo wa kweli
Back
Top Bottom