Ahsante,
Hivi kuagiza hiyo used inaweza kuwa shilingi ngapi maana nilimtuma fundi wangu anitafutie, kazunguka ilala, tandale mpaka temeke huko, kila aliyopata ilikuwa haionyeshi vizuri. Kaambiwa upatikanaji wa hizo ni mgumu mpaka wavizie magari yanayochinjwa.
Fundi aliwahi kuifungua nikapiga...
Ni kweli, unaweza kukuta umewekewa umepaki sehemu ambayo hujawahi hata kupaki. Mimi mwenyewe nimeangalia kunasehemu naangiziwa napaki kila siku na eneo lenyewe liko Mwanza wakati mimi nipo dar es salaam.
Ukitaka uone ulipaki wapi, ingia kwenye website ya tarura(Termis)...
Mimi mwenyewe nimebambikiwa sehemu ambayo sijawahi kupaki na karibu kila siku naingiziwa nimepaki Kamanga mwaza wakati niko dar es salaam. Bili imeshafika 11000 nabado inaongezeka.
Nimeshindwa kuwasiliana na Tarura kwasababu system yao haina contact yeyote.
Niliwasiliana na mkata tiketi akanipa...
Hiyo kichwa yenye gauge (geji) umepate wapi na mie nataka niwe nayo itanisadia kujua gesi imebaki kiasi gani. Na mie nina mitungi miwili ya kampuni tofauti, itanisadia kuendeleza utafiti wako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.