Recent content by nyengo

  1. nyengo

    Msaada tafadhali: Jinsi ya kupunguza ukubwa wa makalio kwa mwanaume

    The pexie, Mkuu tatizo la kuwa na makalio makubwa ni sababu kuna fat hakuna kingine. Sasa kuna haya mazoezi ukifanya yatakusaidia Want to Burn Hip Fat? Try These 10 Exercise Options Squats. Share on Pinterest. ... Side lunges. ... Fire hydrants. ... Wall sits. ... Banded walk. ... Step-ups...
  2. nyengo

    TANAPA yatoa Ofa kabambe kwa Watanzania kutalii msimu wa Nane Nane

    Waambie wasafishe vyoo. Vyoo vingi ni vichafu na havina maji katika mbuga nyingi za Tanzania ijapokuwa hela nyingi zinaingia. Kwa kweli inatia aibu sana. Ramani za mbugani na alama ndani ya mbuga haziko clear. Watalii wengi hasa wageni wanalalamika juu ya hilo. Hata mwenyewe sijapenda hilo...
  3. nyengo

    Tafsiri ya kweli ya jina-Tigo.

    https://www.millicom.com/our-company/brands/tigo/ "Our commercial brand Tigo, which derives from the Spanish word "contigo" which means "with you", has been active in Africa and Latin America from the beginning, supporting their digital transformation. Our purpose is to build the digital...
  4. nyengo

    Baada ya Elimu bure Rais Magufuli sasa anawaletea wanyonge Bima ya afya

    Ngoja tusome kwanza report ya CAG ndugu yang. Hii ya Bima ni cha mtoto. Nina wasiwasi kama watu watakuwa na imani na jiwe tena. Maana tumedanganywa mengi na matokeo yake tumeyaona. Tumeambiwa ndege zina faida wakati sio kweli.
  5. nyengo

    Buriani Mzee Karume; Kwaheri uhuru wa Zanzibar

    Lakini mbona kuna wakati Mwanakijiji aliwapa mbinu nzuri sana na rahisi ya kutotumia nguvu, alisema 1. Viongozi na waajiliwa wote walioko ktk Serikali ya Muungano na Mawaziri wajiudhuru nafasi zao na warudi Zanzibar. 2. Wabunge wa Zanzibar wasihudhurie vikao vyovyote vya Bunge kule Dodoma 3...
  6. nyengo

    Rais Magufuli, tafadhali kataa kuupokea Uwanja mpya hadi wabadilishe vibao vya Airport mpya!

    Hata Pasipoti zetu nazo asizipokee. Zimeandikwa kwa maandishi makubwa ya Kiingereza na kuna neno moja docgo la kiswahili la Pasipoti.
  7. nyengo

    Sheikh Ponda: Tamko lililotolewa na Sheikh Ramadhani si la jumuiya, ni lake mwenyewe

    The Takbīr (تَكْبِير, pronounced [tækˈbiːr]), also transliterated Tekbir or Takbeer, is the Arabic phrase Allāhu akbar (الله أكبر), usually translated as "God is [the] greatest".
  8. nyengo

    Hatimaye kilio cha wananchi wa pangani juu ya ujenzi wa barabara ya Tanga – Pangani - Bagamoyo chapatiwa majibu

    Bei ya Viwanja kwa bara bara hiyo kutoka Makurunge lazima itapanda juu
  9. nyengo

    Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Sio Msukuma peke yake, ni wengi sana ...akina Nape, Mwigulu, Mwakyembe, Dr Slaa,.nk lakini huyu Mzee Lowassa kweli kakoga matusi mengi na ya aibu..Nikifikiria yale matusi ya Nape na Mwigulu... mm sina hamu jamani...
  10. nyengo

    Serikali yamhakikishia Usalama Tundu Lissu akirejea nchini

    Kwanza hiyo CCTV camera inamuonyesha ni nani aliempiga risasi Tundu Lissu? Hao walinzi kwa nini wasiulizwe walimwona nani akimpiga risasi Lissu.
  11. nyengo

    Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

    Wakati Lissu anapigwa risasi, huyu Dkt alikuwa Chadema, hivyo basi yeye alikuwa amehusika katika kutekeleza mpango wa kutaka kumuua Lissu. Naye ahusishwe na hao anaowajua walishiriki ktk tendo hilo.
  12. nyengo

    Dereva wa Lissu: Siku ya shambulio hakukuwa na ulinzi wowote, eneo lile linalindwa na askari wenye bunduki siku zote

    Ndio maana wanasema leteni zile CCTV camera tuone kama ni dereva au watu wasiojulikana ndio walitenda tendo ovu. Kwa nini zile camera zilitolewa?
Back
Top Bottom