Lowassa hajakurupuka kurudi CCM, namuunga mkono 100%

Na Rose Mayemba

Jana tare 1/3/2019 Waziri Mkuu wa zamani aliyejiuzuru kwasababu ya wizi wa mabilioni ya pesa kupitia shirika fake la kufua umeme(DOWANS ) Mhe Edward Lowassa alitangaza kuondoka CHADEMA na kurudi Chama cha mapinduzi ambako aliondoka mwaka 2015 baada ya kuhujumiwa kugombea nafasi ya Urais ndani ya Chama chake

Ikumbukwe kwamba Mhe Edward Lowassa ndiye mwanasiasa pekee aliyeonekana kukubalika ndani na nje ya Chama cha Mapinduzi miaka hiyo huku wajumbe wote wa mkutano Mkuu kutoka maeneo mbalimbali ya nchi wakiamini kwamba ndiye Rais watakayemsimika baada ya swahiba wake Jakaya Mrisho Kikwete kumaliza muda wake.

Sote tulishuhudia mambo yakienda kinyume pale mjini Dodoma baada ya jina la Mhe Lowassa kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro hicho na Ndugu John Pombe Magufuli kuibuka kidedea.

CCM walimnyang'anya Mhe Lowassa haki yake ya kupigiwa kura huku watanzania wakijionea kwa macho jambo ambalo liliua ndoto yake ya muda mrefu ya kuwa Rais wa nchi hii.

Hapa ndipo ugonjwa wa hamahama ulipozaliwa, wanaccm wengi hawakuridhishwa na hujuma zile za wazi na kuamua kwenda kujiunga na vyama ambavyo vinasimamia misingi ya haki Demokrasia.

Pamoja na wanachama wengi na viongozi mbalimbali kukihama Chama hicho kwa Sababu za uonezi Mhe Edward Lowassa alihama kwasababu aliamini kwamba wananchi walikuwa na imani nae hivyo ndoto yake ya kuwa Rais ingeweza kutimia akiwa popote, hakuamini kabisa kwamba CCM inaweza kumfanya ashindwe kuwa Rais wa nchi hii. Na ukweli ni kwamba CHADEMA hawakufanya makosa kumpitisha Mhe Lowassa wa wakati ule kuwa mgombea kwasababu hakuna asiyejua kwamba yeye ndiye aliyekuwa chaguo la wananchi, Ccm wanajua na Dunia inajua, hakuna aliyekuwa na nguvu ya kumshinda Lowassa.HAKUNA.

Baada ya Mhe Edward Lowassa kupewa ridhaa ya kugombea kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wananchi walimpokea kwa Shangwe kubwa na kumpigia kura za kutosha.Kila alipokwenda vijana kwa wazee walionesha viparata vyao vya kupigia kura kuashiria kwamba walidhamiria kuiondoa CCM madarakani. Kimsingi Mhe Lowassa alishinda uchaguzi 2015. CCM wakishirikiana na jeshi la polisi walipoka ushindi wa Mhe Lowassa, matokeo ya uchaguzi ule nakumbuka yalitangazwa kwa mtutu wa bunduki, polisi walitapakaa kila mahali kuhakikisha hakuna kiumbe kinajaribu kufanya chochote baada ya kutangazwa kwa Matokeo yale. Kimya kilitanda nchi mzima, hakuna aliyeshangilia wala kufurahia Matokeo yale na huo ndio ukawa mwisho wa Mzee wetu EDWARD LOWASSA.

Hakuwa na nguvu tena ya kufanya jambo lolote, alipokea matokeo kwa Shingo upande huku watu wengine wakimtia moyo kwamba atashinda awamu ijayo.

Ikumbukwe pia kwamba Mhe Edward Lowassa alivumilia matusi na kejeli za kila aina wakati wa kampeni zake, wengine walisema ni Mgonjwa, wengine wakasema anajinyea hovyo Kama mtoto huku wengine wakimwita marehemu. Lakini kwasababu lengo lake lilikuwa ni kutimiza ndoto yake ta kuwa Rais alipuuza na kusonga mbele. Kimsingi alidhihakiwa sana.

KWANINI NASEMA LOWASSA AMEFANYA MAAMUZI SAHIHI KURUDI CCM?

Kila nabii na zama zake. Lengo la Mhe Lowassa kuhama Chama ilikuwa ni Urais ambao wananchi walimpa na CCM wakampora. Urais huu ninaousema hapa kwasasa hauko mikononi mwa Mhe Lowassa tena, zama zake zilishapita na hana mvuto tena kama ilivyokuwa wakati wa zama zake.

Zama zako zikishapita zimepita, huwa hazirudi japokuwa Mzee wetu alitaka kulazimisha King(wacheza bao wanajua) akijiaminisha kwamba pengine nafasi yake Bado ipo.

Vijana kwa wazee kwasasa wamebadili pambio wanaimba wimbo mwingine kabisa, kwasasa mtaani kila unapopita unasikia LISSU! LISSU!LISSU hadi kero.

Hakuna namna ya kuzuia haya ili tumsaidie Mzee wetu Lowassa, walewale waliomshangilia na kumtaka sana 2015 wamebadilika wanamshangilia na kumtaka sana Tundu Lissu. Hili CHADEMA haina mamlaka nalo na wala haiwezi kuzuia kelele za watu kumtaja Lissu. Kiufupi hizi ndo zama zake,zikipita watu watakuja na maamuzi mengine tena ambayo sisi binafsi hatuyajui.

Sasa Mzee wetu Lowassa tunataka aendelee kubaki Chadema akisubiri nini?

Kwa wakati tulionao hawezi kuja kuwa Rais tena,sio kwa kubaki Chadema wala sio kwa kurudi CCM. Ndoto yake ya Urais imekwamia hapo.

Hasara alizozikimbia CHADEMA ni kwamba utawala tulionao unawanyanyasa sana wapinzani naye hakuzoea mambo hayo. haoni sababu ya kuendelea kupambana na CCM wakati ndoto yake ya Urais imekufa. Lowassa hakuwahi kuwa na tatizo na CCM yeye shida yake kubwa ilikuwa ni Urais

Haoni faida ya kufilisiwa mali zake na kuweka rehani maisha yake wakati hakuna manufaa tena, kuwa mpinzani inahitaji kujitoa mhanga. Mhe Freeman Mbowe anajeruhiwa kila siku na Serikali ya CCM na hajabadili msimamo kwasababu ndio maisha aliyochagua tangu ameamua kuwa mwanasiasa sio Lowassa. Lowassa alitaka Urais tu na sisi tulimpa kwasababu wananchi walimtaka lakini si mwanaharakati huyu, hawezi kustahimili.

Tumuache Mzee wetu apumzike, amepigania ndoto yake imeshindikana sasa ni wakati wa yeye kupumzika na kuendelea kula mema ya nchi.

Sisi tunasonga mbele, vita hii tutashinda, usiniulize tutashinda lini wewe pambana ukiamini siku na saa isiyo na jina mnara wa Babeli utaangushwa tu.

KIZA NI KINENE KWASABABU ASUBUHI IMEKARIBIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lumumba mmevulugwa tuambien lowassa ni asset au liability kwa sasa au mmepokea mzoga uwafie?
 
Nakumbuka huko kenya ilipamba moto sana hii siasa ya TZ and by that time the president of Tanzania amekunya kwa stage and nobody care about, most of them still believ mtu nakunya stagin inaezekana vipi akakunye ikulu na the whole nation

Siasa ni kitu iko na nguvu na siasa sio kitu ya kuchezewa kwaivo kama umedecide amia part ingine amia kwa moyo wako wote na kama hujadecid hivyo basi achana naiyo baki kwa part yako maana kuna watu wengine pale

Siasa siasa sio kitu ya mchezo mchezo kwaivo iwapo unapenda penda yote iwapo upendi bishi achana naiyo na kama ukitia mjeuri finally utaishi kusumbukaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umri umeenda sana.pengine hajui heshima yake iko wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana nawewe. Lowasa hakuwahi kuwa mwanamageuzi wala kuwa na msimamo unaoeleweka kiitikadi nje na ndani ya ccm. Kwake yeye mwanzo na mwisho wa harakati za kisiasa ni kwa yeye kuwa raisi wa tz.
Nchi yetu inahitaji "transformational and visionary" leadership. Kiongozi atayejenga miundo mbinu ya utawala bora, demokrasia na maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Twahitaji kiongozi atakayetupatia katiba bora yenye kuimarisha uhuru wa mahakama, bunge, tume ya uchaguzi na taasisi zote muhimu za utawala wa nchi yetu bila kusahau haki za binadamu.
Siamini kama ujio wa Lowasa Chadema ulikuwa na nia ya mageuzi ya dhati kwa nchi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
you have nailed it boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona tuliaminishwa kuwMimi ninachosubiria tu kutoka kwa wanalumumba ni Je Lowassa aliinunua chadema?

Mbona tuliaminishwa kuwa Lowassa kainunua Chadema?-Wadanganyika tungekuwa na akili tulipaswa tujitadhimini upya-Yaani tutadanganywa na CCM hadi lini?
siasa si haswaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
siasa si haswaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Za Tanzania tu au duniani kote? Mimi najua siasa ni njia ya kufanya maamuzi katika taifa, mji au hata dunia nzima. Sehemu muhimu ya siasa ni majadiliano kati ya watu mbalimbali wenye nguvu au mamlaka. Katika demokrasia kila mtu ana kiasi fulani cha nguvu, kwa hiyo siasa ya demokrasia ina maana ya watu wote kuchangia maamuzi -Sasa hapa kwetu vipi-Je kwa uongo uongo huu tutafika kweli? ELIMU BURE
 
Umeandika vizuri sana. Sasa tumejua kwa nini kuna hasira sana dhidi ya chadema na CUF. kumbe ndio waliofanya mkuu ashindwe ila akatawazwa na Mzee Lubuva. Baada ya hapo akaona Mbowe akidhoofishwa sana na CUF kuuawa ndoto yake itakuwa safi 2020. Haya tusubiri ya Mkuu na Lissu!!!! 🙂 🙂!!
Halooo.....jamaaa kaandika vizuri sana. Kwa hali hiyo, kulikuwa hakuna namna!
 
Nakubaliana nawewe. Lowasa hakuwahi kuwa mwanamageuzi wala kuwa na msimamo unaoeleweka kiitikadi nje na ndani ya ccm. Kwake yeye mwanzo na mwisho wa harakati za kisiasa ni kwa yeye kuwa raisi wa tz.
Nchi yetu inahitaji "transformational and visionary" leadership. Kiongozi atayejenga miundo mbinu ya utawala bora, demokrasia na maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Twahitaji kiongozi atakayetupatia katiba bora yenye kuimarisha uhuru wa mahakama, bunge, tume ya uchaguzi na taasisi zote muhimu za utawala wa nchi yetu bila kusahau haki za binadamu.
Siamini kama ujio wa Lowasa Chadema ulikuwa na nia ya mageuzi ya dhati kwa nchi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hakuna mtanzania atakayepatika kufanya haya wakati ccm ikiwa bado hai.CCM ya sasa imekusanya the so called politicians and some incompetent individuals-ambao hawawezi fanya kitu kingine nje ya madaraka haya ya kuteuliwa au kujiteua. Mtu mmoja pale Lilongwe aliwahi kuniambia kuna States man/women na kuna politicians

States man/women ana angalia Taifa-Maswali anayojiuliza ni-Tanzania na watanzania waweje after 20,30 years-Hawa madaraka si Muhimu kwao,wao cha muhimu kwao ni nchi-Watu hawa kwa bahati mbaya wapo wachache sana africa na majority hawajihusishi na hizi siasa uchwara na siasa maji taka-ni watu wanaojiheshimu-nadhani Salim Ahmed Salim was among them
Politicians-The Magufuli type-wanafikiria-nashindaje uchaguzi niendelee kuwa madarakani?-mtu wa aina hii hawezi fikiria Tanzania wala watanzania,yeye anafikiria kwanza kulinda madaraka yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23],eti kumtawaza baada ya kjinyea.
Ameanza mwenyekiti na katibu wao,ccm ya watawazaji
Yule mpuuzi ajiitaye King Msukuma, alimdharirisha sana Lowassa kwa kudai eti alikuwa ANAJINYEA. Magufuli yeye, alikuwa anapiga push up kuonyesha kuwa jamaa anaumwa Sana, kiasi kwamba hawezi kufanya ayafanyayo yeye.
Kiukweli, Lowassa alitukanwa sana na Wapinzani wa CCM kabla hajahamia CHADEMA. Lakini, matusi aliyotukanwa na wana CCM yalikuwa ni makubwa sana, baada ya kuhamia CDM!
 
Na Rose Mayemba

Jana tare 1/3/2019 Waziri Mkuu wa zamani aliyejiuzuru kwasababu ya wizi wa mabilioni ya pesa kupitia shirika fake la kufua umeme(DOWANS ) Mhe Edward Lowassa alitangaza kuondoka CHADEMA na kurudi Chama cha mapinduzi ambako aliondoka mwaka 2015 baada ya kuhujumiwa kugombea nafasi ya Urais ndani ya Chama chake

Ikumbukwe kwamba Mhe Edward Lowassa ndiye mwanasiasa pekee aliyeonekana kukubalika ndani na nje ya Chama cha Mapinduzi miaka hiyo huku wajumbe wote wa mkutano Mkuu kutoka maeneo mbalimbali ya nchi wakiamini kwamba ndiye Rais watakayemsimika baada ya swahiba wake Jakaya Mrisho Kikwete kumaliza muda wake.

Sote tulishuhudia mambo yakienda kinyume pale mjini Dodoma baada ya jina la Mhe Lowassa kuenguliwa kwenye kinyang'anyiro hicho na Ndugu John Pombe Magufuli kuibuka kidedea.

CCM walimnyang'anya Mhe Lowassa haki yake ya kupigiwa kura huku watanzania wakijionea kwa macho jambo ambalo liliua ndoto yake ya muda mrefu ya kuwa Rais wa nchi hii.

Hapa ndipo ugonjwa wa hamahama ulipozaliwa, wanaccm wengi hawakuridhishwa na hujuma zile za wazi na kuamua kwenda kujiunga na vyama ambavyo vinasimamia misingi ya haki Demokrasia.

Pamoja na wanachama wengi na viongozi mbalimbali kukihama Chama hicho kwa Sababu za uonezi Mhe Edward Lowassa alihama kwasababu aliamini kwamba wananchi walikuwa na imani nae hivyo ndoto yake ya kuwa Rais ingeweza kutimia akiwa popote, hakuamini kabisa kwamba CCM inaweza kumfanya ashindwe kuwa Rais wa nchi hii. Na ukweli ni kwamba CHADEMA hawakufanya makosa kumpitisha Mhe Lowassa wa wakati ule kuwa mgombea kwasababu hakuna asiyejua kwamba yeye ndiye aliyekuwa chaguo la wananchi, Ccm wanajua na Dunia inajua, hakuna aliyekuwa na nguvu ya kumshinda Lowassa.HAKUNA.

Baada ya Mhe Edward Lowassa kupewa ridhaa ya kugombea kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wananchi walimpokea kwa Shangwe kubwa na kumpigia kura za kutosha.Kila alipokwenda vijana kwa wazee walionesha viparata vyao vya kupigia kura kuashiria kwamba walidhamiria kuiondoa CCM madarakani. Kimsingi Mhe Lowassa alishinda uchaguzi 2015. CCM wakishirikiana na jeshi la polisi walipoka ushindi wa Mhe Lowassa, matokeo ya uchaguzi ule nakumbuka yalitangazwa kwa mtutu wa bunduki, polisi walitapakaa kila mahali kuhakikisha hakuna kiumbe kinajaribu kufanya chochote baada ya kutangazwa kwa Matokeo yale. Kimya kilitanda nchi mzima, hakuna aliyeshangilia wala kufurahia Matokeo yale na huo ndio ukawa mwisho wa Mzee wetu EDWARD LOWASSA.

Hakuwa na nguvu tena ya kufanya jambo lolote, alipokea matokeo kwa Shingo upande huku watu wengine wakimtia moyo kwamba atashinda awamu ijayo.

Ikumbukwe pia kwamba Mhe Edward Lowassa alivumilia matusi na kejeli za kila aina wakati wa kampeni zake, wengine walisema ni Mgonjwa, wengine wakasema anajinyea hovyo Kama mtoto huku wengine wakimwita marehemu. Lakini kwasababu lengo lake lilikuwa ni kutimiza ndoto yake ta kuwa Rais alipuuza na kusonga mbele. Kimsingi alidhihakiwa sana.

KWANINI NASEMA LOWASSA AMEFANYA MAAMUZI SAHIHI KURUDI CCM?

Kila nabii na zama zake. Lengo la Mhe Lowassa kuhama Chama ilikuwa ni Urais ambao wananchi walimpa na CCM wakampora. Urais huu ninaousema hapa kwasasa hauko mikononi mwa Mhe Lowassa tena, zama zake zilishapita na hana mvuto tena kama ilivyokuwa wakati wa zama zake.

Zama zako zikishapita zimepita, huwa hazirudi japokuwa Mzee wetu alitaka kulazimisha King(wacheza bao wanajua) akijiaminisha kwamba pengine nafasi yake Bado ipo.

Vijana kwa wazee kwasasa wamebadili pambio wanaimba wimbo mwingine kabisa, kwasasa mtaani kila unapopita unasikia LISSU! LISSU!LISSU hadi kero.

Hakuna namna ya kuzuia haya ili tumsaidie Mzee wetu Lowassa, walewale waliomshangilia na kumtaka sana 2015 wamebadilika wanamshangilia na kumtaka sana Tundu Lissu. Hili CHADEMA haina mamlaka nalo na wala haiwezi kuzuia kelele za watu kumtaja Lissu. Kiufupi hizi ndo zama zake,zikipita watu watakuja na maamuzi mengine tena ambayo sisi binafsi hatuyajui.

Sasa Mzee wetu Lowassa tunataka aendelee kubaki Chadema akisubiri nini?

Kwa wakati tulionao hawezi kuja kuwa Rais tena,sio kwa kubaki Chadema wala sio kwa kurudi CCM. Ndoto yake ya Urais imekwamia hapo.

Hasara alizozikimbia CHADEMA ni kwamba utawala tulionao unawanyanyasa sana wapinzani naye hakuzoea mambo hayo. haoni sababu ya kuendelea kupambana na CCM wakati ndoto yake ya Urais imekufa. Lowassa hakuwahi kuwa na tatizo na CCM yeye shida yake kubwa ilikuwa ni Urais

Haoni faida ya kufilisiwa mali zake na kuweka rehani maisha yake wakati hakuna manufaa tena, kuwa mpinzani inahitaji kujitoa mhanga. Mhe Freeman Mbowe anajeruhiwa kila siku na Serikali ya CCM na hajabadili msimamo kwasababu ndio maisha aliyochagua tangu ameamua kuwa mwanasiasa sio Lowassa. Lowassa alitaka Urais tu na sisi tulimpa kwasababu wananchi walimtaka lakini si mwanaharakati huyu, hawezi kustahimili.

Tumuache Mzee wetu apumzike, amepigania ndoto yake imeshindikana sasa ni wakati wa yeye kupumzika na kuendelea kula mema ya nchi.

Sisi tunasonga mbele, vita hii tutashinda, usiniulize tutashinda lini wewe pambana ukiamini siku na saa isiyo na jina mnara wa Babeli utaangushwa tu.

KIZA NI KINENE KWASABABU ASUBUHI IMEKARIBIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga mtupu.
 
Kwanza nikupinge tu kuwa Lowasa hakuibiwa kura 2015! Nikuambie tu Chadema haiwezi kuishinda CCM ata siku moja kwenye Urais sababu nyie wenyewe munajiona the way mulivyo vigeugeu, hamueleweki kabisa na kama una ushahidi tuwekee hapa ata fomu moja ya jimbo moja ambayo ilisainiwa jimboni na mawakala wenu ambayo kura zilijumlishwa ambayo ilienda tofauti na matokeo aliyotangaza Jaji Lubuva.

Lowasa mwenyewe alitoka CCM akiwa na CHIZII lengo likiwa aibe kura!

Siasa za Lowasa si zikiuhanarakati! mara kadhaa alishawataka chadema mubadilike na siasa zenu, musiishi katika matukio na kudandiadandia hoja! lakini siasa za upinzani haziendi mpaka muwakashafu na kuwatusi viongozi, kukiuka sheria makusudi ili wakamatwe na wakikamatwa watangaze wanaonewa kwaiyo siasa za vyama vyetu vya upinzani ni kituko tu.
Mtei, Sumaye na Lowassa wako wapi kuwafunda kina Mbowe? - JamiiForums
Lowassa: CHADEMA tume graduate kutoka kuwa wanaharakati hadi chama cha siasa - JamiiForums

Mwisho kabisa mulimtusi sana Dr. Slaa mara kafungiwa na mkewe mara Urais lakini zile zote zilikuwa propaganda ili mumzike yule Mzee asionekane ana hoja lakini baada ya miaka mitatu wote tumejua kuwa Dr. Slaa alikuwa makini kwenye utendaji wake lakini alizungukwa na matapeli wa kisiasa..! Sasa tunaisubiri propaganda mutakayo mtupia Mzee Edo.
idawa
 
Akapumzike. Ni zamu ya akina Msukuma "kumtawaza" maana walisema "anajinyea", sawa na CHADEMA waliomwita Fisadi na Baadae kumsafisha.

Sasa habari ni Lissu.
Kifupi mzee amecheza vizuri karata zake kwa Sasa si Ccm wala vyama vya upinzani watakao muita Fisadi.
 
Nakukubali sana rose wamtumainio bwana ni kama mlima sayuni hawatatetereka milele yote

Nakubaliana sana na wewe
Lakini ktk sakata hili winners ni CHADEMA na Lowassa na loosers ni CCM
Lowassa lazima arudi CCM kusudi
1.asaidiwe kutoka kwa mkwe gerezani, binti yake yuko mjane kwa miaka kadhaa
2. Pension yake ya Uwaziri mkuu aipate bila makandokando
3. vyanzo vya hela vya kufadhili vyama kutoka nje vitadhibitiwa na serikali
4. kutokana na Mswaada wa vyama vya siasa uliopitishwa hive karibuni kuwa Waziri lazima ampitishe mgombea, na kwa kuhisi kama angeweza kukatwa jina lake ikabidi ajisalimishe CCM
CHADEMA
1. Ingekuwa ni ngumu na aibu kumwambia mzee huna mvuto tena na nguvu ya kushindana na upepo wa siasa za wakati huu
2. Imekuwa vizuri kajivua wakati harakati za uchaguzi haujaanza. Ingekuwa pigo kubwa sana kwa CHADEMA kumpitisha Lowassa halafu katikati ya uchaguzi akajivua uanachama wa CHADEMA. Hii kwa wana CCM wangeita kujivua magamba
Lakini huyu meze kwa kweli kaoga sana matusi, kaoga matusi kutoka CCM , Sijui akina Mwigulu, Nape,Makonda, Mwakyembe, Mzee wa Msonga sura zao watazipeleka wapi...
Ila chonde chonde CHADEMA wasimtukane na lazima wajue kufanya siasa za kistaarabu
 
Kwanza nikupinge tu kuwa Lowasa hakuibiwa kura 2015! Nikuambie tu Chadema haiwezi kuishinda CCM ata siku moja kwenye Urais sababu nyie wenyewe munajiona the way mulivyo vigeugeu, hamueleweki kabisa na kama una ushahidi tuwekee hapa ata fomu moja ya jimbo moja ambayo ilisainiwa jimboni na mawakala wenu ambayo kura zilijumlishwa ambayo ilienda tofauti na matokeo aliyotangaza Jaji Lubuva.

Lowasa mwenyewe alitoka CCM akiwa na CHIZII lengo likiwa aibe kura!

Siasa za Lowasa si zikiuhanarakati! mara kadhaa alishawataka chadema mubadilike na siasa zenu, musiishi katika matukio na kudandiadandia hoja! lakini siasa za upinzani haziendi mpaka muwakashafu na kuwatusi viongozi, kukiuka sheria makusudi ili wakamatwe na wakikamatwa watangaze wanaonewa kwaiyo siasa za vyama vyetu vya upinzani ni kituko tu.
Mtei, Sumaye na Lowassa wako wapi kuwafunda kina Mbowe? - JamiiForums
Lowassa: CHADEMA tume graduate kutoka kuwa wanaharakati hadi chama cha siasa - JamiiForums

Mwisho kabisa mulimtusi sana Dr. Slaa mara kafungiwa na mkewe mara Urais lakini zile zote zilikuwa propaganda ili mumzike yule Mzee asionekane ana hoja lakini baada ya miaka mitatu wote tumejua kuwa Dr. Slaa alikuwa makini kwenye utendaji wake lakini alizungukwa na matapeli wa kisiasa..! Sasa tunaisubiri propaganda mutakayo mtupia Mzee Edo.
idawa
Hivi unadhani ile rasmu ya katiba mpya ilizimwa tu kwa sababu ya Serikali tatu?Unadhani Bunge limewekwa gizani kwa sababu tu ya Gharama?unadhani Magu yuko live kila tukio kwa bahati mbaya? Am so sorry my dear-Baada ya uchaguzi Mungu alinijaria kupita kwenye viwanja vyetu vikubwa vya ndege-JNIA,KIA,Songwe na Mwanza,nilishangaa kukuta askari wenye mtutu-Pia Mungu amenipa Neema ya kuendelea kuvitumia viwanja vyetu kwa safari za ndani na nje ya nchi yetu cha ajabu baada ya jamaa kuapishwa sioni tena askali wenye mitutu kule ila naona juhudi za kunyamanzisha kila Mmoja-ile huyu mtu wako ukweli anaujua ndo maana hajiamini na hatajiamini hadi kesho-sana sana ataishia kujigamba mie ndo rais
 
Rose amezndika ukweli mtupu hongera sana , Bila Chadema wamepata bahati nzuri sana lowasa kuondoka mwenyewe kwa hiari na muda ukiwa bado kuelekea uchaguzi mkuu ujao ,hivyo wanachohitaji ni kujipanga tu , Jiwe kalamba dume yaani walikuwa na upinzani mmoja tu mwenge nguvu ccm Mr membe ,kwa kukosa akili na taarifa kuongeza wawili tena Rostam Aziz na Jana Edward Lowasa ,kweli akili ni nywele ,hajui kuwa watakuwa wanamhujumu kimya kimya ,kwani jinsi alivyowananga hawajamsamehe bado .
 
Back
Top Bottom