Toto Zembe
Member
- Jul 15, 2019
- 74
- 101
Duu!!!

Yaani the same same na kile kiungo cha kutolea mbolea.Tafsiri yetu wahuni kutoka kwenye logo yao iko kama sura ya mtu then jicho moja lipo wazi na jingine limefunga, sasa lile ambalo liko wazi ndio tunalinganisha na kile kiungo cha mwisho kwenye mfumo wa mwili wa utoaji taka (mndu.ku)![]()

Siku zote sikua nikikubaliana na tafsiri ya jina la mtandao pendwa wa simu la Tigo , ambalo kila mtu amekua akilitafsiri kwa namna apendavyo. nilikua nikiitafuta tafsiri ya kweli na leo nimeipata. hivyo napenda kuwajuza wana Jf ambao nao walikua hawaijui-
Jina tigo linatokana na muunganiko wa maneno mawili, ti na go. ti nineno lisilo na maana maalum linalotafsiri kuwa ni kishindo cha kuanguka kwa kitu au mtu, na neno go- nilakiingereza lenye maana ya kwenda mbele. (ubunifu wa mchina huo)lengo ni kuwatia moyo wale ambao hawakufanikiwa katika jambo fulani "waliofeli" wasikate tamaa,wasihuzunike bali waendelee kujaribu au kufanya mambo mengine. kwahiyo "ti" umeanguka "go" nyanyuka uende sio kubaki hapo unalalamika. wasomi wanatwambia" Do'nt get too worried about fail but take it as a lesson lernt to do differently at the other time"

Kama kumbukumbu zangu zitakuwa vizuri,hili wa watu kuitafsiri tigo tofauti haikutokana na jina hilo Bali walikuwa na tangazo lao lenye kufikirisha mambo flani.Sina uhakika sana nahisi ni ile ------- twanga kote kote .
unataka utumie tigo yako ku generate income au?Nimehamasika kutumia tigo kupitia uzi wako
kweli mkuu maana hakuna kitu kibaya sana kama kuwa rafiki wa shetani.Aliyebuni yupo kuzimu sa hivi anachochea kuni anawasubiri wenzake
Wakiwashe
wanapromote usenge. tuIla hawa Tigo matangazo yao yanasucks sana
"Nakupa kotekote"..tangazo la size yako
live it love it."Express your self"
hiyo hiyo page ilisema CCM ni CHAMA CHA MALAIKA.Kuna page moja instagram.
Inasema maana ya tigo.
Ni. TRUST IN GOD ONLY.
Angalia comment #28 wameeleza vizuri sana.Ti na Go ni maneno ktk lugha gani? Kiswahili hakina maneno hayo!
wazungu kina nani?Hata pumba kumbe zinaruhusiwa kujadiliwa! Modes huyu jamaa anajaza seva za wazungu bure!