Prof. Kabudi afanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
295
679
Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Prof. Palamagamba John Kabudi amefanya mazungumzo na Balozi wa Ufaransa nchini, Mheshimiwa Frédéric Clavier.

Katika mazungumzo hayo, Tanzania na Ufaransa zimekubaliana kushirikiana katika masuala mbalimbali ikiwemo kilimo cha zabibu, uzalishaji wa mvinyo na mauzo yake nje ya nchi.

 
Back
Top Bottom