Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 01 Oktoba, 2026, amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni, katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma.
Walioapishwa ni Mhe. Abdallah Hamis Ulega kuwa Waziri wa Katiba na Sheria...
Tukiwa chuo mimi na mpenzi wangu tulipanga kwamba tukimaliza akipata kazi baada ya miezi Sita anakuja kwetu kutoa mahari tunaoana. Baada ya chuo kumalizika mambo yamekuwa tofauti kwani kila akitafuta kazi hapati, na mimi nimepata kazi kabla ya mpenzi wangu ambaye bado anajitafuta na kwa sasa...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa ufafanuzi kuhusu hali ya mawingu na ukungu unaoambatana na manyunyu katika baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Njombe.Imesema hali hiyo imepunguza uono na kusababisha baadhi ya madereva kuwasha taa za magari ili kuona mbele.
Akizungumza na Mwananchi Digital...
DIWANI WA KATA YA MYAMBA WILAYA YA SAME AUA MWANANCHI.Kuna Diwani (haramu) kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Myamba, Wilaya ya Same, Mkoa wa Kilimanjaro, ambaye kwa jina maarufu anaitwa MAGIRI.Usiku wa kuamkia tarehe 4/9/2026, majira ya saa nane usiku, alipita katika kituo tunachopakia...
Leo, Septemba 6, 2026, inatimiza miaka miwili tangu kifo chake, lakini hadi leo matokeo ya uchunguzi wa tukio hilo bado hayajawekwa wazi. Pumzika kwa amani, Ali Kibao, tutakukumbuka daima.
=====
September 6, 2026, marks two years since his death, but to this day, the results of the...
Mhe. Lissu: shahidi ulisema Jambo TV na Chanzo TV walirusha mkutano huo live, waeleze majaji kwa ufahamu wako uwepo wa hatua zozote za kuwafungulia Jambo TV na Chanzo TV mashtaka ya kuwezesha uhaini
Golugwa: kwa ufaham wangu sijasikia wala sijaona hatua zozote dhidi ya waandishi wa habari wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.