Recent content by Nyawayi

  1. Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Hivi "COVID-19", ni neno la kingereza au ni lugha ya kitaalamu?

    neno la kitaalam tu
  2. Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli jitahidi uache uvunjaji wa sheria! Let justice take its natural course!

    Point ni mtumishi wa umma alafu matendo ya kijinga hayo mengineyo hayana umaana.
  3. Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Kama kuna jambo Watanzania hawalijui ni hili

    Umri !!?
  4. Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke umri 38-42

    Ujasema unataka mmama wa umri huo wa kufanyaje !!?kuoa,kukusidia kazi za ndani au kukulea???
  5. Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Ukweni Pamoto Jamani, yamenikuta

    Nisingefanya hiyo kazi maana pale nimeenda kuoa sio kuomb kazi sasa napewa majaribio,maana baada ya hizo kazi uwezi pewa mwanamke bure bado watakupiga mali
  6. Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Sisi wanawake ni watu wa ajabu sana

    Za zaman lbda ila za sasa zinawaka bila kiki
  7. Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Dada ambaye hujaolewa na kaka ambaye hujaoa, unakutana na changamoto zipi katika jamii yako?

    Kama umri umekwenda na ujaolewa lazima uulizwe sana tu umezaa au hapana na huwezi kwepa
  8. Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Dada ambaye hujaolewa na kaka ambaye hujaoa, unakutana na changamoto zipi katika jamii yako?

    Watu wengi wana watoto na hawana wame kingine kuulizwa hilo swali pia inategemena na umri pia.
  9. Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Kwa wanandoa

    So mkuu unamaanisha zawadi mnazopewa siku ya harusi or send off kwa dada zetu haziusiani kuwa ni mali za wanandoa bali ni mali ya mtu mmoja mmoja !!?
  10. Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Kwa wanandoa

    Oooh sawa sawa kwa wanaume najuaga hatuna shida but kwa dada zetu 😂😂 sijui wanakwama wapi akiwa na kitu atatukan mali zangu lakini sisi hatunaga hizo
  11. Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Kwa wanandoa

    mbalizi1, Oooh asante kwa kunielewesha mkuu
  12. Nyawayi

    JamiiForums Tanzania Mnadhimu ambaye hana nidhamu; Vituko vya CHADEMA

    Me nadhani wapo sahihi wameona anatosha na anafaa.
Back
Top Bottom