Habari wakuu!
Aise Kwanza niseme tu kuwa maisha Ni magumu mno Tena kwa upande wa wasomi. Dogo kamaliza chuo kapewa kianzio ila Sasa hivi hata mwezi tu hajamaliza tayari mtaji kaumaliza.
Ombi langu kwenu: nipeni mbini za kujiajiri ili nimfundishe dogo make kwa Sasa sidhani Kama uwezekano wa...
Mkuu umeandika mawazo mazuri sana, na yeye anapambana kwenye dagaa but naona yeye shida hajapata soko tu. Kama unaweza kunipa neno kwa hiyo biashara karibu boss
Habari zenu
Jamani hawa madogo wanaomaliza vyuo ni pasua vichwa bora sisi wenye la 7 zetu. Dogo kamaliza masomo kaomba mtaji wa kulangua dagaa na kuuza ila kaenda takriban trip 3 tu mtaji umeisha.
Nisaidieni nimuongeze pesa au niache apambaniye hiyo hiyo?
Kwa mtazamo wako unaona Nina low thinking capacity et, wewe c ulikuja na mayai ya bundi nikakutoa nduki I mean sijasoma lkn wewe mwenye higher thinking capacity ulikuja kujikomba kwangu[emoji3][emoji3][emoji3]
Jamani nilikuwa busy kutafuta chapa huku kenya saiv ndo nimetulia Sasa. Ila twende mbele turudi nyuma ualimu Ni kazi ya kimasikini sana.
Sema dogo pindi anasoma nilikuwaga mbali naye but saiv nipo tz nikataka nimfanyie michongo huko mwanza ila nimeona Bora nimpe mtaji.
Ualimu c kazi
Habari wadau!
Katika kusoma au kusomesha usije kuruhusu au kusomesha mwanao course ya ualimu. Hii kozi ni ya watu ambao hawajui kesho yao. Mimi Kuna mdogo wangu kamaliza chuo mwaka huu. Nimeamua nimtafutie mchongo but kwa vile akosomea ualimu kila akienda sehemu hakuna mchongo unaoendana na...
Jamani!
Nipo natokea Tabora naelekea Kisumu Kenya ila natarajia kununua samaki wa kwenda nao huko. Kwa wenyeji naomba mnipe mwalo wa kupata hizo samaki kwa bei ya jumla
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.