Nafikiri kwa busara zangu, tuokoe taifa letu kwanza kwatumia hao watuhumiwa alafu tukiamalizana na hao wafisidi wakizungu ndio tuwarudia hao ndugu zetu wasaliti, hii imeshakua vita ya kiuchumi ndugu, hao jamaa wakizungu wako vizuri, waliyajua haya yatatokea tangu miaka hiyo, chochote tutakacho...
Nafikiri Ana Makinda anajua uwezo wakufikiri nakutoa hoja kwa baadhi ya viongoz wetu wa serikali ni mdogo akaona wanahitaji siku nzima, kesho tutaambiwa tume imeundwa, sijui wakati wanawatwanga mzee Lipumba na wafuasi wake kuna tume iliundwa.
Kwa mpumbavu atachukua kiti cha Muumba cha hukumu, kwa mwenye hekima atakimbia uso wa Muumba kwakujipima kiasi cha uovu wake yeye mwenyewe kabla ya Mungu kunyoosha chanda chake. Unaye muhukumu askofu kakobe na uhakika wewe ni mpumbavu kwakua hata uhakika wa kua kesho utakua salama huna unakujaje...
Kinacho uma sio wachache kujichotea hayo madafu bali ile hali ya Watanzania kuridhika na ugali na kupande cha papa, wao hawaitaji mabafiliko yaani wamekata tamaa kabisaaaaaa. Na fikiri viongoz wa dini wabadilishe mafundisho, wawa watu kutogombania hak ya maendeleo ni dhambi labda itasaidia.
Hawa watu wamekua wezi mpaka wamekua vipofuu kabisa, kama Mungu wewe unatoa haki hapa duniani basi fanya haraka kuitoa hiyo haki ili na sisi wanyonge tupate faraja kua tuna mtetezi.
Kijana kuamakini na nia zako, hii si sehemu za masihara tafadhali, hapa nisehemu ya watu walio makini na kujiheshimu. Kama unaona kazi hamna manaake shule ndogo au huna uzoefu basi ksjifunze upate uzoefu au rudi shule.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.