Kwa matokeo haya naweza kuchukuliwa DIT kwa course ya bio electrical engineering?

Edson david42

Member
Mar 22, 2017
27
9
nimehitim kidato cha nne mwaka 2016 na kupata div 2.18 kwa matokeo haya
phyz C
chem C
bios B
math D
kisw C
eng C
Geo C
Hist B
Civ B
mchango wenu plz
 
DIT tunahitaji wenye ufaulu Wa C flat kwa PCM ili uweze kuingia kwa direct entry vinginevyo access course inakuhusu
 
DIT hupati
math umezingua
competition ya DIT asa iv kwa goverment imekuwa kubwa sana
Unaweza kukuta course nzima wamechukua div one
 
Back
Top Bottom