Recent content by Nyati

  1. Nyati

    Tanzania kuandika historia kwa kufanikisha Taifa Stars kufuzu Kombe la Dunia 2026.Play-Off Match ndio Itaamua

    Mimi ningetaka tu twende lkn kwa nilichokiona jana naomba tu wasiende kwani unaweza kuvuna aibu ya MWAK ukatandikwa magoli 80. Tuendelee kujipanga, timu ya CHAN ilikuwa nzuri zaidi ya hii niliyoiona pale.
  2. Nyati

    CRDB vibaka ndani ya benki wameongezeka! Majid Nsekela kazi inamshinda?

    TUKAZITUNZE WAPI???? Maana hapa ni hatari na NUSU
  3. Nyati

    CRDB vibaka ndani ya benki wameongezeka! Majid Nsekela kazi inamshinda?

    Duh! Mimi mbon Simbanking ndilo kimbilio langu. Kwa hiyo nimeishapigwa AMA?
  4. Nyati

    Mwakinyo ikiwezekana badilisha uraia

    Ni kweli kabisa upande wa MFAUME ni aibu kubwa sana. Ibra alipigwa hasa angalau SARE lkn yule Mmalawi wamemkosea sana
  5. Nyati

    Mwakinyo ikiwezekana badilisha uraia

    Lile pambano na Mmalawi nia Aibu KUBWA kuwahi kutokea duniani. Jamaa alishindwa kwa mbali sana sana tu wale wataamuzi sijui nisemeje. Kwa kweli ule ni wizi wa mchana kweupe KABISA. Upande wa pamba la mwisho walisema ni SARE na ni vichekesho kwani kwa raoundi zote kuna mtu alipgwa hata chini...
  6. Nyati

    The Bishop They Couldn’t Silence: How Tanzania’s Outspoken Intellectual Was Sidelined by Church Politics

    Hapa JF kuna kila aina ya watu nimeamini LUGHA inapanda kweli kweli na madini ya uchambuzi pia
  7. Nyati

    Nimeona wakati Trump anaapishwa leo kuwa Rais wa Marekani sikuona akiwa ameshika Biblia. Hii ipoje?

    Mkewe alishika ama nimeona vibaya MKEWE alibeba na yeye mkono mmoja kanyoosha na mwingine kaweka kwenye Biblia ama Trump takes presidential oath of office
  8. Nyati

    Nilishuhudia Mwezi pamoja na nyota zikiwa karibu zaidi. Je, inaashiria nini?

    Walisema kwamba hiyo hapo karibu na mwezi ni sayari ya VENUS kama sikosei
  9. Nyati

    TANZIA Jimmy Carter, aliyekuwa Rais wa 39 wa Marekani afariki dunia

    Yeah! Nilikuwa nakusubiria wewe, huyu mwingine sijui katokea wapi maana wewe Jimmy ni REAL CLASSMATE wako
  10. Nyati

    TANZIA Mmiliki wa mabasi ya Mwendamseke afariki dunia

    Nasubiri baadhi ya COMMENTS hapa
  11. Nyati

    KERO Mama Ntilie wanahatarisha afya zetu kwa kutumia vifungashio visivyo salama

    Hiyo TISA kumi kwenye kuhifadhi vyakula ambapo wanatumia makaratasi ya NAILONI kuhifadhi wanasema ni kichocheo cha KANSA kwa kwenda mbele. Hawa maofisa Afya inabidi wawaelimishe jamani
  12. Nyati

    Arusha kuna Mabasi ya kwenda Mbeya Usiku?

    Kama wanasema saa tano mtakuwa Mbeya shuka haraka sana maana uenda wana mpango mbaya na maisha yako
  13. Nyati

    Wanafunzi 1,230,780 kufanya mitihani ya kuhitimu elimu ya Msingi leo Septemba 11, 2024

    KILA LA HERI WANANGU MWENYEZI MUNGU AKAWATANGULIE. AMINA
  14. Nyati

    Wanafunzi 1,230,780 kufanya mitihani ya kuhitimu elimu ya Msingi leo Septemba 11, 2024

    KILA LA HERI WANANGU MWENYEZI MUNGU AKAWATANGULIE. AMINA
Back
Top Bottom