kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,763
- 25,624
Kama bado uko arusha MpakaMkutano ni Kesho mchana
muda huu hutowahi..
Kama bado uko arusha MpakaMkutano ni Kesho mchana
PAnda hadi Babati mahakamani ukabahatisheMkutano ni Kesho mchana
Tayari Niko Ndani ya chuma wamesema saa 5 tutakuwa MbeyaKama bado uko arusha Mpaka
muda huu hutowahi..
Jomoni kumbe upogo Arusha. Nenda pale stendi waulize kina Moii hautakosa usafiri.. Ars Ex..Ninataka kuwahi mkutano wa chama Kesho tafadhali naomba anayejua ratiba ya Mabasi ya kwenda Mbeya kutokea Arusha anisaidie
Ahsanteni sana
Niambie Lucas Muosha Mbwa...Mtanzania
Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.Niambie Lucas Muosha Mbwa...
Panda fika Dom... Pale bus za Mbeya ni za kutosha ma utawahi!Ninataka kuwahi mkutano wa chama Kesho tafadhali naomba anayejua ratiba ya Mabasi ya kwenda Mbeya kutokea Arusha anisaidie
Ahsanteni sana
Kama wanasema saa tano mtakuwa Mbeya shuka haraka sana maana uenda wana mpango mbaya na maisha yakoTayari Niko Ndani ya chuma wamesema saa 5 tutakuwa Mbeya
Ahsante sana kwa kujali kunishauri
Bwashe Arusha siyo pa kienyeji kama Iringa hadi ukose usafiri. Its connected 24/7. Watake radhi waarusha kwa kauli yako hiyo🤣🤣Ninataka kuwahi mkutano wa chama Kesho tafadhali naomba anayejua ratiba ya Mabasi ya kwenda Mbeya kutokea Arusha anisaidie
Ahsanteni sana
Niko Ndani ya Bus bwashee 😂Bwashe Arusha siyo pa kienyeji kama Iringa hadi ukose usafiri. Its connected 24/7. Watake radhi waarusha kwa kauli yako hiyo🤣🤣
Hana hela labda ungo na wenyewe wenye nyungo bado hawaja commercialise hiyo biashara bado ni private self drive kusafiri na ungoSi upande ndege?
🤣🤣🤣🤣.......siku ingine ukija Arusha usiingie kimyakimya, gonga hodi nitakupeleka mashenzini pale Picnic.Niko Ndani ya Bus bwashee 😂
Mama Ako mzazi au mama Ako wa kambo?Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huyu Lucas Mwashambwa na Mdude wote ni wa-NYIA wa mboziNimekuelewa sana msalimie yule Mnyiha Nyagali 😀
Mama lake jiko!Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.