Recent content by Nyati John

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hili Rais Magufuli usije kumtafuta mchawi!!

  2. N

    JamiiForums Tanzania Msajili awaita Lipumba na Seif

    Watasema Si uchochezi!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe: Sikumhoji Lowassa kwa sababu ushahidi dhidi yake ulikuwa unajitosheleza!

    Pesa za mshahara Na marupurupu mengine ukiwemo ulinzi,matibabu n.k Siyo vya taifa?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Watatu wauawa daraja la Mkapa, walikataa amri ya polisi iliyowataka wasimame

    Mpaka wanauwawa maana yake uwezo wa kuwakamata ulishindikana!Tii sheria pasina shuruti.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Jiwe la Msingi la reli mpya ya SGR Dar-Moro kuwekwa tarehe 12 Aprili 2017 na Rais John Magufuli

    Nilipo ona jina lake tuu,nikajua hakuna habari! Watanzania tabia ya kujikomba Na unafiki itakwisha lini?
  6. N

    JamiiForums Tanzania Haijapata kutokea, licha ya majigambo ya ukusanyaji ni 34% tu ya fedha za maendeleo ndo zimepatikana

    Ndiyo lugha walizo kariri,hawana misamiati mingine zaidi ya UKAWA huyo,BAVICHA,huyo,Si ndiyo wale WACHOCHEZI basi!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Sakata la Roma linavyofanana na la Ulimboka

    Hicho ndicho kinacho nishangaza!!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Sakata la Roma ni picha la Kichina

    Tutaishi kwa Amani zaidi kama wana CCM tutakuwa wakweli kwa manufaa ya nchi yetu nimewapenda!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Farao asiyemjua Yusufu kaja

    Nsfikiri bado wewe!!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Farao asiyemjua Yusufu kaja

    Walio funguka macho mapema waliamua kukaa pembeni Kama si kukihama hicho Chama! Mkawabeza na kuwadhalilisha kwa maneno ya kejeli,sasa mmeyaona wenyewe!! Hiki Si kile Chama kilichokuwa na upendo na Amani enzi hizo.Tulikuwa tunapita kifua mbele mbele Kama chipukizi au Umoja wa vijana wa CCM...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Nape is Now a Larger Than Life Celebrity Leader

    Shangiliwa wewe basi japo na robo ya watu wale tuone! Kama unadhani Ni rahisi!
  12. N

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Mheshimiwa Rais hajui maana ya uzalendo

    Ingekuwa busara kuu Kama angefoka kwa Ma-DC kwa kutodhibiti ugomvi wa Wakulima na Wafugaji ilivyombo vya habari visipate habari hizo! Kuliko kuonesha hasira kwa vyombo vinavyo kujulisha ukweli wa mambo upande fulani wa Jamhuri!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Mheshimiwa Rais hajui maana ya uzalendo

    Pamoja na ukweli huo watajitokeza wapambe kuupinga!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Makonda haya maisha yana mwisho utashuka utatukuta

    Jiepushe na uzuzu,Kipi rahisi kutengeneza video na kuandika? Kama aliweza kutengeneza video na kufanya hayo yanayo semwa,ni kipi kitakacho tufanya tusiamini kuwa Si yeye aliyea toa masndiko yale?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani: Tumeishi na RC Makonda vizuri ila kutajwa kwenye madawa, kama familia tunamwachia Mungu

    Lumumba mambo mengine muwe na soni!Mpaka yeye anasema hivyo,yeye Si "chizi"Kwahiyo unataka kusema anampakazia mwenzie?
Back
Top Bottom